Magical power
JF-Expert Member
- Sep 27, 2022
- 2,158
- 5,626
Hii ni live band mkuuHii ni "ya kusadikika"au ni live band?....anyway kuna angle mchepuko unatupunguzia Bp na sukari japo nayo ni vichomi!...
Haha hiyo gari ilipark barabarani tena high way!🤣🤣Hii ni "ya kusadikika"au ni live band?....anyway kuna angle mchepuko unatupunguzia Bp na sukari japo nayo ni vichomi!...
Daraja la Saba wako nyumbani, tuwasamehe tu na post zaoAlisafiri na mke wake kwenda sokoni walipofika wakapaki akakaa kwenye gari akimngojea mkewe anunue vitu sokoni mrembo mmoja akapita karibu na gari lake alipomuona akashuka akamfuata huyo mrembo ghafla ajali hii ikatokea...
Nilichowaza mimi kumbe michepuko nayo inaokoa maisha🤭😂🤣🙌View attachment 3160456
Sasa wewe na mtoa post Nan darasa la Saba?Daraja la Saba wako
huyo mwamba ana maisha marefuHii ni live band mkuu
Kabisahuyo mwamba ana maisha marefu
Haha hiyo gari ilipark barabarani tena high way!
kwanza mkewe akirud na kuona hali hio anazimia kwanza,maana atajua parapanda tayar kumbe mjuba alikuwa anajitetea kwa manziKabisa
kumbafu sana gentleman 🤣🤣Alisafiri na mke wake kwenda sokoni walipofika wakapaki akakaa kwenye gari akimngojea mkewe anunue vitu sokoni mrembo mmoja akapita karibu na gari lake alipomuona akashuka akamfuata huyo mrembo ghafla ajali hii ikatokea...
Nilichowaza mimi kumbe michepuko nayo inaokoa maisha🤭😂🤣🙌View attachment 3160456
Kiasili au namna madume yalivyoumbwa na maanani hayakuumbwa kuwa na make mmoja Bali Kwa madume ambayo yamejitoa kama watumishi wa Mungu pekee ndio wanapaswa kuwa na make mmoja hata hivyo huo ni ushauri TU wa paulo mtume!!Alisafiri na mke wake kwenda sokoni walipofika wakapaki akakaa kwenye gari akimngojea mkewe anunue vitu sokoni mrembo mmoja akapita karibu na gari lake alipomuona akashuka akamfuata huyo mrembo ghafla ajali hii ikatokea...
Nilichowaza mimi kumbe michepuko nayo inaokoa maisha🤭😂🤣🙌View attachment 3160456