Nilichowaza mimi kumbe michepuko nayo inaokoa maisha🤭😂🤣🙌

Magical power

JF-Expert Member
Joined
Sep 27, 2022
Posts
2,158
Reaction score
5,626
Alisafiri na mke wake kwenda sokoni walipofika wakapaki akakaa kwenye gari akimngojea mkewe anunue vitu sokoni mrembo mmoja akapita karibu na gari lake alipomuona akashuka akamfuata huyo mrembo ghafla ajali hii ikatokea...

Nilichowaza mimi kumbe michepuko nayo inaokoa maisha🤭😂🤣🙌
1732457234659.jpg
 
Hii ni "ya kusadikika"au ni live band?....anyway kuna angle mchepuko unatupunguzia Bp na sukari japo nayo ni vichomi!...
 
Alisafiri na mke wake kwenda sokoni walipofika wakapaki akakaa kwenye gari akimngojea mkewe anunue vitu sokoni mrembo mmoja akapita karibu na gari lake alipomuona akashuka akamfuata huyo mrembo ghafla ajali hii ikatokea...

Nilichowaza mimi kumbe michepuko nayo inaokoa maisha🤭😂🤣🙌View attachment 3160456
Daraja la Saba wako nyumbani, tuwasamehe tu na post zao
 
Alisafiri na mke wake kwenda sokoni walipofika wakapaki akakaa kwenye gari akimngojea mkewe anunue vitu sokoni mrembo mmoja akapita karibu na gari lake alipomuona akashuka akamfuata huyo mrembo ghafla ajali hii ikatokea...

Nilichowaza mimi kumbe michepuko nayo inaokoa maisha🤭😂🤣🙌View attachment 3160456
kumbafu sana gentleman 🤣🤣

nacheka huku na uchungu, dah! Michezo hatari sana hii 🤣🤣
 
Alisafiri na mke wake kwenda sokoni walipofika wakapaki akakaa kwenye gari akimngojea mkewe anunue vitu sokoni mrembo mmoja akapita karibu na gari lake alipomuona akashuka akamfuata huyo mrembo ghafla ajali hii ikatokea...

Nilichowaza mimi kumbe michepuko nayo inaokoa maisha🤭😂🤣🙌View attachment 3160456
Kiasili au namna madume yalivyoumbwa na maanani hayakuumbwa kuwa na make mmoja Bali Kwa madume ambayo yamejitoa kama watumishi wa Mungu pekee ndio wanapaswa kuwa na make mmoja hata hivyo huo ni ushauri TU wa paulo mtume!!

Kuwa na make mmoja ni sababu zinazosababisha vifo vya mapema vya madume mengi!!

Achana na Sheria za kidini ambazo ni mbinu za wenye akili sana kutawaka wenye akili kidogo!
 
Back
Top Bottom