Under-cover
JF-Expert Member
- Nov 13, 2023
- 1,834
- 3,042
ππ sasa itoe tuuze nowIlikuwa ni mwezi wa sita nilichukua balo la mizura niuze kipindi cha baridi, aisee nilikuta mizuea yote ni ya father christmas, yani yoite ni aina moja father christmas, na biashara ikaishia hapo hapo, nikapaki tu ndani , yani ikifika kipindi cha siku kuu nagawa kidogo kidogo mingine naacha hadi inanitia uvivu.
Nchi Smart mitumba ni marufuku.Si nasikia wabongo mabalo yakifika wanayaka na kuyapaki tena, nguo nzuri na milonya wanatenganisha, na kupanga bei...
Ilikuwa ni mwezi wa sita nilichukua balo la mizura niuze kipindi cha baridi, aisee nilikuta mizura yote ni ya father christmas.
Yani yote ni aina moja father christmas, na biashara ikaishia hapo hapo, nikapaki tu ndani , yani ikifika kipindi cha siku kuu nagawa kidogo kidogo mingine naacha hadi inanitia uvivu.
Sijajua kwa wengine ila mwezi wa 12 ungeuza kama yote, wengi huwa wanavaa mpaka maofisiniIlikuwa ni mwezi wa sita nilichukua balo la mizura niuze kipindi cha baridi, aisee nilikuta mizura yote ni ya father christmas.
Yani yote ni aina moja father christmas, na biashara ikaishia hapo hapo, nikapaki tu ndani , yani ikifika kipindi cha siku kuu nagawa kidogo kidogo mingine naacha hadi inanitia uvivu.
2018 Dada mmoja nilimpa mtaji akabeba mabalo mawili akauza ndani ya wiki mbili akapaya faida laki tano.Si nasikia wabongo mabalo yakifika wanayaka na kuyapaki tena, nguo nzuri na milonya wanatenganisha, na kupanga bei...
Bora weweIlikuwa ni mwezi wa sita nilichukua balo la mizura niuze kipindi cha baridi, aisee nilikuta mizura yote ni ya father christmas.
Yani yote ni aina moja father christmas, na biashara ikaishia hapo hapo, nikapaki tu ndani , yani ikifika kipindi cha siku kuu nagawa kidogo kidogo mingine naacha hadi inanitia uvivu.
Nchi iliyojaa bidhaa feki za kichina na kituruki, na kuua bidhaa zinazotengenezwa na viwanda vya ndani!, kwanini watu wasinunue mitumba?...Nchi Smart mitumba ni marufuku.
Unawatipu kidogo wale wauzaji wakupe bidhaa nzuri.2018 Dada mmoja nilimpa mtaji akabeba mabalo mawili akauza ndani ya wiki mbili akapaya faida laki tano.
Nikasema hii sasa ndio biashara. Akachukua wa pili akapata faida laki 3.
Akaongeza balo yakawa matatu. Akaenda kufungua nguo zote zimeoza ni kama zilifungwa zikiwa na maji maji so zokavunda. Kila unayofungua inamomonyoka.
Biashaea ikaishia hapo hapo.
Aisee.... biashara zina mambo sanaUnawatipu kidogo wale wauzaji wakupe bidhaa nzuri.
Wana wale wanajua kama hili kumejaa lonya au pamba kali...Aisee.... biashara zina mambo sana
Hapo kwenye mabalo ya Nguo acha kabisa.2018 Dada mmoja nilimpa mtaji akabeba mabalo mawili akauza ndani ya wiki mbili akapaya faida laki tano.