Nilidanganya kuwa mama amefariki ili nipate msaada, roho yangu inahuzunika sana

Tatizo la JF kila mtu anataka kujulikana ni expert member, Hata Kama hana hoja
 
Sijasoma habari.. Lkn nina mchango.
Kwani Mama amefariki kweli?
Nijuavyo, huko makazini watu walishaua Babu, Bibi, Wakwe, Baba, Mama, Mashangazi, hadi mke/mme.. Ili apate mkopo rahisi.

Ebu pambana na maisha kijana, unaonekana bado upo below 24.. Ndo unaanza kuishi sasa!
 
Pole sana! We elezea kila kitu usifupishe wala nini maana najua umeona hapa ndo salama zaidi kufunguka ili upate amani! Tunapata peace of mind kwa kutoa yaliyo moyoni!
Spek out, we are here to listen/read!
Mungu akupe amani moyoni.
Sawaa
 
Pole sana! We elezea kila kitu usifupishe wala nini maana najua umeona hapa ndo salama zaidi kufunguka ili upate amani! Tunapata peace of mind kwa kutoa yaliyo moyoni!
Spek out, we are here to listen/read!
Mungu akupe amani moyoni.
True ukisikiliza masimulizi kuna watu wamepita dhiki kuu kuliko yake ni cha mtoto.
 
Pili Hakuna matatizo mapya duniani KILA tatizo lishawahi pitiwa na wengine na yakapita.
Wengine tulikuwa tunawalinda walio lala ndani leo tunalindwa tumelala ndani
 
Shida ya JF ujuaji ni mwingi sana hakuna mtu analazimishwa kusoma huu mkasa ukiona ni uongo kaa kimya acha wakujifunza wapate somo tupunguze viherehere yaani mtu unakuwa na wivu mpk na matatizo ya mtu usyemjua?hatari sanaa
Naamini wengine humu hawapo timamu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…