Nilidanganya kuwa mama amefariki ili nipate msaada, roho yangu inahuzunika sana

Mwamba umetisha shana, Komaa ndugu yangu maisha ndo haya haya, hakuna maisha mingine, ndo tunaishi hivyo
 
Amen
 
Moderators mbona mmebadili heading ya ya hii story?! Mpo active kufanya Mambo kaka haya lakini hamuwashughulikii wanaotoa lugha chafu kinyume na terms za JF. Angalieni lugha iliyotumika kwenye post number 64 ya uzi Huu
 
Tumbo la uzazi limeuma nnavyosoma hapa...!
Ukisikia Mungu kumpa baraka mtoto ndo wewe...namuonea gere mama!
Yaani ww nakosa la kusema...una akili safi mno!
Sasa maza anajishughulisha na nini!
Nadrq sana ma last born wakawa na akili kama zako..nadra sana...wengi mapoyoyo balaa...
 
Moderators mbona mmebadili heading ya ya hii story?! Mpo active kufanya Mambo kaka haya lakini hamuwashughulikii wanaotoa lugha chafu kinyume na terms za JF. Angalieni lugha iliyotumika kwenye post number 64 ya uzi Huu
Kuna id ziko masaa 24 kutukana matusi ya nguoni yaan kila akikoment anadhalilisha moderator walaa....hawana habari
 
Huyu dogo atakuja kuwa succesful mno mno!
Ulijitoa kuzidi upeo..hongera sana aisee
 
Kwahiyo sitalaanika tena kwa kumsingizia kifo?!
_____
Yupo tu nyumbani bado hajaacha kuuza mboga za majani na matunda.
_____
Huwa nashangaa Sana Nikiona mtandaoni jinsi tunavyoongelewa sisi maLast born. Wana edit mapichapicha kuonesha sisi tunadeka Sana. Lakini behind the curtain Mambo ni tofauti Sana. Hata tunawaona firstborn wengi Mambo wanayofanya ni ya kawaida Sana.
 
Kabla sijamaliza kusoma huo muendelezo, nikushauri kama unajutia kweli Mungu atakusamehe, na kwa mazingira uliyoonesha kupitia utasamehewa.
Sasa nimesoma mpaka mwisho, watoto wa mtaani wanakwambia mkuu hauna mbaya..

Fanya hivi, madhali mama yupo hai, basi mshirikishe, mueleze kile kilichotokea na ukizingatia yeye anayajua maisha halisi, mueleze mkasa woote.. Naamini atatamka nimekusamehe mwanangu,baada ya hapo utapata ahueni, hili tatizo utakiwa umelizika hapo.

Tafuta namna ya kumuingia kama mama hako ni rafiki yako wa karibu saana, muingie kiurafiki lakini ukionesha unajutia mfano..
Muite muweke chini mueleze unaanza kama masihara kwa tabasamu tena "unajua haya maisha ni kitu kibaya sana, unatabasamu, wakati mwingine tunafanya mambo yanakuja kututesa daima, hapo lazima akuulize kwa nini.. Sasa hapo uso wa tabasamu unatoka unakuja wa simanzi, mueleze kinagaubaga, chozi likija usilizuie liache litiririke, mueleze kiasi gani hiki kitu kinakusumbua"

nakuapia walahi, kama hajakukumbatia na kukwambia amekusamehe, au akakwambia usijali si tatizo kwake, njoo unifyeke kidole changu kimoja. [emoji23]
Ninakueleza nikiwa na experience na hii njia.

Pole kwa yote mkuu, yote maisha mzee, ushukuru mungu amekuepusha na mengi amekupa nguvu za kuepuka maamuzi ya kiboya mfano wake kama kujiua vile n.k.
 
Kutegemea ntu na ntu somo..
Last born wengine ni "wanaharakati kama mkapa shingoni chain ya gold.(fid q)

Hizo ni kauli za mazoea.. Mtu hapewi akili nyingi ama moyo wa kufight kisa eti wa kwanza kuzaliwa big NO. [emoji23]
 
Hakuna laana ya namna hiyo. Uliongea kujidefend upate elimu umsaidie mamako...all the best endelea kukaza dogo..! Tumbo la mama yako lina baraka balaa..una akili za maisha
 
I'll try this. [emoji1545]
 
Mkuu nimesoma hii hadithi nimekumbuka ile novel ya "Is it Possible?" Nadhani kwasababu umetaja Maasai na Arusha!

Ila all all Mungu Mkubwa! Naona mwanga mbele ya safari ya Maisha yako! Mungu akutangulie.!
 
Mkuu nimesoma hii hadithi nimekumbuka ile novel ya "Is it Possible?" Nadhani kwasababu umetaja Maasai na Arusha!

Ila all all Mungu Mkubwa! Naona mwanga mbele ya safari ya Maisha yako! Mungu akutangulie.!
Amen [emoji1545]
 
Mkuu hapa sijakufuata wewe halafu nipo kabla yako, kwanza member mwenyewe kwangu bado mchanga.

Na JF siyo ya babako. Kwenye jukwaa nilikuwepo kabla yako shahidi mamayako utanieleza Nini!!?
0
 
Hii imenitoa machozi.

Sawa all the best. Mungu atazidi kukuimarisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…