Nilidanganywa kuhusu honeymoon (fungate)

Yaan mara ya kwanza had mtu akikuangalia usoni unaona aibu unahis alikuona wakat unafanya unaweza jifungia ndani usitoke siku 3 huyu ni legend kabisa🤣🤣
😂😂😂😂😃,. Hapa kuna mawili either ni mwanaume au alibikiriwa zamani sana yaani hana experience kabisa hua inakuaje kuaje,. Ila ya kutuambia imetoka juzi kwenye honeymoon maelezo yake hayafungamani ni uongo😃😂
 
Tell them l...
Binti mdogo nimeolewa nimestirika hao mashangazi wananiponda hata uhakika WA kula kesho hawana ... idiots
Ati wanasema m MWANAUME ati wanasema et mwanamke hawezi enjoy sex mpaka miaka kumi ipite.... what the hell!!
Et Lethergo
Njoo PM tuongee vizuri Mchuchu hapa watakusema sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…