Nilidanganywa kuhusu honeymoon (fungate)

Nilidanganywa kuhusu honeymoon (fungate)

Miaka 7 hiyo tena sio kiivyo , miaka 10 ndo hapo unaupata utamu wa mwanaume ile poa poa

Ukweli ni huu mwanamke huwezi toa post kama hii kama umeshaolewa mke wa mtu,huwezi kuwa muwazi hivi kuna,watu wameolewa humu ila wanasiri nyingi sana
Sasa niogope kuongea Ili iweje kuna mtu ananijua
 
Wacha wee!
Nipe namba yako nikununulie kinywaji UTAKACHO SHEM!
WEWE NDIO MWANAMKE NA NDIO MALKIA WA NGUVU HUMU @JF
Tell them l...
Binti mdogo nimeolewa nimestirika hao mashangazi wananiponda hata uhakika WA kula kesho hawana ... idiots
Ati wanasema m MWANAUME ati wanasema et mwanamke hawezi enjoy sex mpaka miaka kumi ipite.... what the hell!!
Et Lethergo
 
Naona mtoa mada umeulaa kama teuzi sasa unaliwaaaa mpaka iwe blurry in color 🤣🤣🤣🤣
 
Yaan mara ya kwanza had mtu akikuangalia usoni unaona aibu unahis alikuona wakat unafanya unaweza jifungia ndani usitoke siku 3 huyu ni legend kabisa🤣🤣
Hivi kwanini udanganye yaani naona niujinga na uchizi tu
 
Back
Top Bottom