Nyamwi255
JF-Expert Member
- Dec 2, 2022
- 4,848
- 12,776
NaamYote Kheri Tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
NaamYote Kheri Tu
☺️Sawa wifi akeeKua na amani,. Ushifa nyumbani shida zote tupa kuleee😘
1. Amuage mama yeka kijijini kwamba anakuja interview[uongo 1]Hahahaha tulipitiwa ...
Naam naam😍☺️Sawa wifi akee
UshifaKua na amani,. Ushifa nyumbani shida zote tupa kuleee😘
Anajua. Atakuelezea kama ana nia.Wewe taja tu bei namlipia wizo kama wizo☺️☺️,.
Kuwezekana? NDIYO.In a serious note( Dr nataka mapacha watatu inawezekana??😔)
Hahahaha hio style ni balaaYani kanishinda Kuna style inaitwa wee huogopi siijui yeye beginner anajua hapana🤣🤣
🏃🏃Hahaha 😂😂😂,. Kama ephen_ mtaalam wa Lugha ameona na ajasema kitu,. Wewe ni nani😏😂😂
Alinipelekea ukuni kisawa sawa baada ya kunioaHuruma tena na huku umesema alikupelekea ukuni
Boss hakosei! Tajiri akosolewi😂
Okay,. Risks kama zipi?? Watoto watazaliwa na disabilities au 🤔🤔,. Na huduma kama hizo wapi zinapatikana na process zinatakiwa zifanyike mda gani kabla ya kuplan uzazi,.? Na gharama zake approximately zinaweza kuwa ni gani??Anajua. Atakuelezea kama ana nia.
Kuwezekana? NDIYO.
But you have to bear association risks and complications.
Alinipelekea ukuni kisawa sawabaada ya kunioaHuruma tena na huku umesema alikupelekea ukuni
Umerudi bububu?Chai
😂😂😂😂
Ewaaa😍Boss hakosei! Tajiri akosolewi😂
Ila mimi ni chawa wa Ivan Stepanov huyo Leejay49 ni wifi yangu tajirii
Unataka kuzaa sasa hivi?Okay,. Risks kama zipi?? Watoto watazaliwa na disabilities au 🤔🤔,. Na huduma kama hizo wapi zinapatikana na process zinatakiwa zifanyike mda gani kabla ya kuplan uzazi,.? Na gharama zake approximately zinaweza kuwa ni gani??
Oya huyu ni Django doer kabisa shituka anatuzuga tuWapi panauma zaidi? Wale wa Cuba wataelewa
Anyways tupe research material je ulinawa baada ya tendo kabla ya round ya pili. Kuna mdau alianzisha uzi hunu anahitaji majibu
Ukabakia unaulilia tu ukuni ndani kwa ndaniAlinipelekea ukuni kisawa sawabaada ya kunioa