Nilidhani CCM wameimaliza CHADEMA baada ya CHAUMMA kupata ufadhili kumbe bado wanaiogopa CHADEMA

Nilidhani CCM wameimaliza CHADEMA baada ya CHAUMMA kupata ufadhili kumbe bado wanaiogopa CHADEMA

Idugunde

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2020
Posts
7,748
Reaction score
10,288
Kama CCM haina hofu na CHADEMA hii vuta ni kuvute dhidi ya CHADEMA tusingeiona.

Mission CHAUMMA imefeli na sasa hivi hii sio CHAGADEMA ni CHADEMA.

Kama huna hofu na mtu asiye lolote kwa nini uhangaike?

Mara kamatakamata, mara muwapige mawe.

Operation Chaumma imefeli.
 
Na awahangaika kweli na hapo yule mnyiramba hayupo sijui ingekuaje, pata picha
 
Wale wahuni kina Mrema warudishe hela za wenyewe - project imekufa kabla hata haijaanza. Kiongozi mkuu wa operation kabakia mafuchoni kasoma rada kaona ataaibika.
No Reforms si ya kitoto - viwete huko mikoani wanatembea
 
U mean Mbowe?
 
Back
Top Bottom