Nilidhani nimeshaona kila kitu

Tafadhari mkuu, elezea kidogo kinachoendelea.

Au unamaanisha tuweke mkazo kwenye hiyo picha?
Anamaanisha hao wakina obama ndio waliivamia libya kumtoa Gadafi wakati libya ikiwa nzuri yenye kila neema na kuiharibu, leo wanajidai kutoa msaada kwenye mafuriko
 
Kwamba unahisi Obama anataka kutapeli wananchi 😁😁😁?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…