Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anamaanisha hao wakina obama ndio waliivamia libya kumtoa Gadafi wakati libya ikiwa nzuri yenye kila neema na kuiharibu, leo wanajidai kutoa msaada kwenye mafurikoTafadhari mkuu, elezea kidogo kinachoendelea.
Au unamaanisha tuweke mkazo kwenye hiyo picha?