donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,128
- 21,885
[emoji3][emoji3]Ni mazda gani hiyo ambayo funguo imwfungwa na spoku
Ndio hiyo hapo juu mkuuWeka picha ya funguo original ya gari hapa.
[emoji23][emoji23][emoji23] sikupingi mkuu. Wale wanaoning'iniza kwenye lux za suruali hawawezi hiiFunguo ya kibabe sana hiyo, mwanaume wa Dar hawezi akaishi nayo hiyo.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hatari sana mkuuHio funguo ina zungumza mengi [emoji81][emoji81][emoji81]
aiseeeeNi mazda gani hiyo ambayo funguo imwfungwa na spoku
Mbna hiyo funguo haifananii kama ina sensor?Ndio hiyo hapo juu mkuu
Mkuu, pale kwenye sehemu ya kuingiza funguo pembeni Kuna kidoti Cha kijani (sensor) ukiweka funguo kinablink ndio ukiwasha inawakaMbna hiyo funguo haifananii kama ina sensor?
Huenda aliyekuchongea funguo kakuchongea vibaya.
Mkuu, pale kwenye sehemu ya kuingiza funguo pembeni Kuna kidoti Cha kijani (sensor) ukiweka funguo kinablink ndio ukiwasha inawaka
Nashkuru mkuuNenda mtaa wa lindi na Newala pale **** duka linaitwa Frozen auto keys utafanikiwa.
Haina mkuu, ukiweka pale kwenye sehemu ya funguo unaona dashboard pale kafunguo kanablink rangi nyekunduKama kuna kidoti kinablink basi huenda hiyo gari ina immobilizer.
Shida ni je hiyo funguo uliyonunua inasensor?
Nakucheck inbox mkuuHiyo mazda ina sensor,lazima ufanye program,ndio ignition ita release na gari itawaka,kama hujafanikiwa nichek tunaweza kukutengenezea sensor.
Funguo ya kibabe sana hiyo, mwanaume wa Dar hawezi akaishi nayo hiyo.