Nilienda kuchongesha funguo, nikafanikiwa lakini tatizo hii inafungua milango tu, haiwezi ku-turn on ignition

Nilienda kuchongesha funguo, nikafanikiwa lakini tatizo hii inafungua milango tu, haiwezi ku-turn on ignition

Salam wakuu,

Direct to the point, hii funguo ya Mazda yangu nilienda kuchongesha funguo, nikafanikiwa lakini tatizo hii inafungua milango tu, haiwezi ku-turn on ignition.

Kufuatilia nikaambiwa funguo Ina sensor, so naulizia Kama Kuna sehemu wakuu mnaifahamu ambapo wanatengeneza funguo ambazo zinakua na sensor na unaweza kuwashia gari.

Shukrani!

Funguo kama pistol
 
Mazda wakikuona na hii funguo unaweza kushtakiwa kwanza alaf ndo wakupe msaada baada ya kutoka jela
 
Back
Top Bottom