Uswahilini hata ukizungusha nyumba yako ukuta wananuna , kisa kuna umbea wanaukosa ,ndio maana mtu akijipata vizuri anajenga sehemu za kishua kila mtu na mishe zake😁Dah! Watu wana mbaya sana.. sio wazur hata kidogo. Mengi ukiyaongea yanabuma. Binafsi nimejionea na hili la huyu mama aliyejichanganya limenikimbiza kabisaaa. Tutaonana misibani tu
Usijaribu kabisa kumwambia mtu hustles zako wala matatizo yako. Zaidi sana wanakusengenya na kufurahia chini ya kapetiDah! Watu wana mbaya sana.. sio wazur hata kidogo. Mengi ukiyaongea yanabuma. Binafsi nimejionea na hili la huyu mama aliyejichanganya limenikimbiza kabisaaa. Tutaonana misibani tu
Amini kaka. Mm nina plan hii hii ya kujitafuta ushuani hata kama nitakuwa na kachumba kamoja maeneo yaliyo tulia. Na nina plan wanangu wasipitie magumu bora niwatenganishe na ukoo kabisa. Mana hizi roho naona sasa zinaota mizizi ukoo huuUswahilini hata ukizungusha nyumba yako ukuta wananuna , kisa kuna umbea wanaukosa ,ndio maana mtu akijipata vizuri anajenga sehemu za kishua kila mtu na mishe zake😁
NotedUsijaribu kabisa kumwambia mtu hustles zako wala matatizo yako. Zaidi sana wanakusengenya na kufurahia chini ya kapeti
Wakenya ni heartlessKwenye haya maisha watu ambao wanaweza kuwa wanakupenda Kwa dhati na kukuombea ufanikiwe ni Wazazi wako na Watoto wako tu
Hawa Ndugu na jamaa wengine tuishie kunywa nao beer tu na Kuchoma nao Kuku, kamwe usidhani wanaweza kukupenda na kutamani ufanikiwe
Mchekeshaji kutoka Nchini Kenya, Profesa Hamo huwa anasema "kwanini tubebe mizigo yako wakati Kila mtu ako na yake"
They don't bother with someone's lifeWakenya ni heartless
Bora ngumu ngumu kila mtu na mishe zake kuliko huu unafki tunaoufanya .They don't bother with someone's life
Yaani unaweza umia hapo asiwepo wa kukwambia pole
Huku Tz tunaishi poa sana, unaweza kuhudhuria Msiba hata wa mtu ambaye humjui kisa umepita njiani umekuta watu wanalia Msiba
Hayo huwezi yakuta Kenya
Inakuwa kama Wazungu, wenzetu kule hawajihusishi na mambo yasiyo wahusuBora ngumu ngumu kila mtu na mishe zake kuliko huu unafki tunaoufanya .
Tunahusisha ndugu jamaa na marafiki na bajeti ya msiba inafika dollars 1000 mpaka 2000 ,wakati marahemu alikufa kwa utapia mlo🤔🤔Inakuwa kama Wazungu, wenzetu kule hawajihusishi na mambo yasiyo wahusu
Ndiyo maana hata Msiba, familia inakodi Kampuni kwaajili ya kuchimba kaburi hadi kukuhifadhi
Sio kama huku kwetu ndugu na jamaa ndiyo wanachimba kaburi na kukuhifadhi
Kamanda huchekeshi, ngumu kumeza lakini ndio uhalisiaAmini nakwambia huyo Shangazi katembea vyema sana, na kama hukuelewa basi hutoelewa tena
Mi nilivyomuelewa
1.Kupitia hiko kibao alichokuwekea alimaanisha watu hawana muda kukaa kuanza kuyajadil yako
(Pambana na hali yako, maana watu hawajali)
2.Akakuambiwa ushakuwa sasa na hiyo ndio dunia, Basi huo ndio ukweli
Be strong enough, this world is not easy, but the good thing is to rely on yourself
KAMNUNULIE SODA MZEE UMPELEKEE[emoji16]
Maisha haya mazuri kama hauna shida wewe. Ishi hiv ila siku tu ikitakiwa hata damu uongezewe ndo utajua kwa nn yaoyao-koh koh anashinda na kijiti 24/7Kamanda huchekeshi, ngumu kumeza lakini ndio uhalisia
Nisieleweke vibaya kakaMaisha haya mazuri kama hauna shida wewe. Ishi hiv ila siku tu ikitakiwa hata damu uongezewe ndo utajua kwa nn yaoyao-koh koh anashinda na kijiti 24/7