min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 23,322
- 64,738
Uswahilini hata ukizungusha nyumba yako ukuta wananuna , kisa kuna umbea wanaukosa ,ndio maana mtu akijipata vizuri anajenga sehemu za kishua kila mtu na mishe zake😁Dah! Watu wana mbaya sana.. sio wazur hata kidogo. Mengi ukiyaongea yanabuma. Binafsi nimejionea na hili la huyu mama aliyejichanganya limenikimbiza kabisaaa. Tutaonana misibani tu