bloggerboy
JF-Expert Member
- Nov 13, 2017
- 568
- 1,217
Nilifanikiwa kukutana na bosi ya skretarieti ya ajira,.alinipa Siri ya maswali ya mitihani wanayotoa kwa Sasa!
Moja ya Maswali wanatoa kwenye "head job tittle"
Mfano; Agric tutor-crop science
Unatakiwa usome contents zote za crop science utafaulu mitihani!
Msidanganyane na "research siku hizi hawatoi" hiyo ni kauli yake!
Mfano: unakuta KAZI inahusisha degree zaidi ya 4, hapo unachotakiwa kuangalia KAZI unayoenda kufanya inahusu degree gani Soma Sana!
Mfano mwingine: Juzi walitangaza KAZI za Liti ,moja ya watu waliotakiwa kuapply Ni Agri business, aiseee Kuna jamaa wa Agri business alipiga paper hakuona hata kimoja maswali yote yalihusu Mambo ya vet na animal science!
Pitia majukumu ya KAZI zako pia, Soma Sana muombe Mungu utafaulu tu.
Maswali ya essay: hakikisha Kila point unaelezea na kuweka underlined example,