Nilifanikiwa kukutana na bosi ya skretarieti ya ajira,.alinipa Siri ya maswali ya mitihani wanayotoa kwa Sasa! Research hawatoi Tena!

Upo sahihi, nimefanya ile ya LITI, aisee wengi tuli base kwenye Research ila walichokuja kutoa,
Yote ni ya darasani hasa surgery,medicine na animal welfare.
Kwa sasa ni Bora kujikita kwenye masomo husika ya fani .
 
sawa mkuu, tutafanyia kazi ushauri wako
 
Aiseee...bongo
mpaka kwenye usaili kuna madesa.....
 
Kuuliza maswali ya research kwenye kila kazi ni upumbavu! Sijui nani aliwashauri ujinga ule.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…