Nilifanya kazi ya weldin

Nilifanya kazi ya weldin

Nilipotoka Magu sekondari ili kwenda shirika la Mapadre wa SFS nilifika Wilayani Kahama mwaka 1998 na kughairi safari ya kuwa Padre Mimi Deogratius Nalimi Kisandu na kuanzia Februari 1998 mpaka Mei 1998 nilianza kufanya kazi ya Kuchomelea mageti, magari, pikipiki na kuunganisha vyuma kwa Mashine za WELDING, Ofisi zetu zilikuwa Barabara ya Msikti wa Ijumaa (tabora road) wakati mzee wangu Nalimi Kisandu ofisi yake ya kutengeneza Radio na kituo cha Udj ilikuwa jirani kabisa na Msikiti wa Ijumaa.

Aidha kazi hii ya kuchomelea ilinisumbua sana macho kwani baada ya kazi Usiku macho yalikuwa yanauma sana kama umeingiliwa na mchanga, lakini ilinisaidia kupata kipato cha kujikimu kabla sijaondoka kwenda kwa Mapekupeku Morogoro mwezi Julai 1998. Hata hivyo Mzee alipoona nimeizoea kazi hiyo alianza kujipanga kuninunulia mashine ya welding(ya kuchomelea) lakini haikuwa ridhiki yangu na sio alichokitaka Mungu kwa wakati huo, Leo mimi Deogratius Nalimi Kisandu nina Elimu ya Taaluma ya Habari, Leseni ya Ualimu na Digrii ya Elimu Maalum, nje ya Maswala ya Kiharakati za Ukombozi wa Pili wa Taifa Letu.

DEOGRATIUS NALIMI KISANDU
5 DECEMBER 2017

Wafuma hale ng'wana wise?
 
Kama wewe upo hivi sijui hao wanafunzi wako watakuwa na hali gani.
 
Hukuwahi kuchunga mbuzi Mkuu!? Nauliza tu.

Nilipotoka Magu sekondari ili kwenda shirika la Mapadre wa SFS nilifika Wilayani Kahama mwaka 1998 na kughairi safari ya kuwa Padre Mimi Deogratius Nalimi Kisandu na kuanzia Februari 1998 mpaka Mei 1998 nilianza kufanya kazi ya Kuchomelea mageti, magari, pikipiki na kuunganisha vyuma kwa Mashine za WELDING, Ofisi zetu zilikuwa Barabara ya Msikti wa Ijumaa (tabora road) wakati mzee wangu Nalimi Kisandu ofisi yake ya kutengeneza Radio na kituo cha Udj ilikuwa jirani kabisa na Msikiti wa Ijumaa.

Aidha kazi hii ya kuchomelea ilinisumbua sana macho kwani baada ya kazi Usiku macho yalikuwa yanauma sana kama umeingiliwa na mchanga, lakini ilinisaidia kupata kipato cha kujikimu kabla sijaondoka kwenda kwa Mapekupeku Morogoro mwezi Julai 1998. Hata hivyo Mzee alipoona nimeizoea kazi hiyo alianza kujipanga kuninunulia mashine ya welding(ya kuchomelea) lakini haikuwa ridhiki yangu na sio alichokitaka Mungu kwa wakati huo, Leo mimi Deogratius Nalimi Kisandu nina Elimu ya Taaluma ya Habari, Leseni ya Ualimu na Digrii ya Elimu Maalum, nje ya Maswala ya Kiharakati za Ukombozi wa Pili wa Taifa Letu.

DEOGRATIUS NALIMI KISANDU
5 DECEMBER 2017
 
Unachelewa Sana kuhamia "NEW STREET"
 
Post zako zote zihamishiwe chit chat
 
wakuu,sio kila anachoeleza bwana Kisandu basi huwa anaeleza wakati maji ya bahari yamepungua,muda mwingine anaeleza facts za maisha aliyopitia
 
Back
Top Bottom