Braza Kede JF-Expert Member Joined Nov 1, 2012 Posts 3,840 Reaction score 6,844 Jan 14, 2025 #41 mhogoz said: Mlishawahi kunitumia kabla? Click to expand... Aaah wapi??
Mr Slim JF-Expert Member Joined Sep 11, 2018 Posts 2,652 Reaction score 5,242 Jan 15, 2025 #42 Ila wewe jamaa unafeli pakubwa...mbinu ya kwanza hata ukifumaniwa live,ni kubisha kuwa sio wewe...ilitakiwa ubishe ubishe ubishe. Mambo yakiwa magumu,msingizie shetani...Yani kwa kifupi wewe kataa kuhusika na chochote.
Ila wewe jamaa unafeli pakubwa...mbinu ya kwanza hata ukifumaniwa live,ni kubisha kuwa sio wewe...ilitakiwa ubishe ubishe ubishe. Mambo yakiwa magumu,msingizie shetani...Yani kwa kifupi wewe kataa kuhusika na chochote.
dimaa JF-Expert Member Joined Jul 30, 2016 Posts 4,174 Reaction score 5,658 Jan 22, 2025 Thread starter #43 Mr Slim said: Ila wewe jamaa unafeli pakubwa...mbinu ya kwanza hata ukifumaniwa live,ni kubisha kuwa sio wewe...ilitakiwa ubishe ubishe ubishe. Mambo yakiwa magumu,msingizie shetani...Yani kwa kifupi wewe kataa kuhusika na chochote. Click to expand... Unakataa huna condoms
Mr Slim said: Ila wewe jamaa unafeli pakubwa...mbinu ya kwanza hata ukifumaniwa live,ni kubisha kuwa sio wewe...ilitakiwa ubishe ubishe ubishe. Mambo yakiwa magumu,msingizie shetani...Yani kwa kifupi wewe kataa kuhusika na chochote. Click to expand... Unakataa huna condoms