Nilifanya kosa la kununua mipira ya kiume, (condoms), njiani kwa matumizi ya nyumbani na mke, imekuwa ugomvi sana, nyumba haikaliki

Ila wewe jamaa unafeli pakubwa...mbinu ya kwanza hata ukifumaniwa live,ni kubisha kuwa sio wewe...ilitakiwa ubishe ubishe ubishe.

Mambo yakiwa magumu,msingizie shetani...Yani kwa kifupi wewe kataa kuhusika na chochote.
 
Unakataa huna condoms
 
Back
Top Bottom