Nilifanya mtihani mara mbili form six, nifanyeje kuaply mikopo elimu ya juu?

Nilifanya mtihani mara mbili form six, nifanyeje kuaply mikopo elimu ya juu?

NABII ELIAH

Member
Joined
Oct 25, 2022
Posts
14
Reaction score
6
Wakuu poleni na majukumu, hivi kama ulifanya mitihani ya advance mara mbili mara ya kwanza ulipata D moja na mara ya lili ukapata D ya pili chuo ume combine matokeo sasa upande wa kuapply mikopo hatuioni sehemu ya kujaza index number za form six kwa waliokaa zaidi ya mara moja inakuwaje hapo au niweke moja tuu?

Je haiwezi kuletashida? Ahsanteni
 
wakuu poleni na majukumu huvi kama ulifanya mitihani ya advance mara mbili mara ya kwamza ulipata D moja na mara ya lili ukapata D ya pili chuo ume combine matokeo sasa upande wa kuapply mikopo hatuioni sehemu ya kujaza index number za form six kwa waliokaa zaidi ya mara moja inakuwaje hapo au niweke moja tuu? je haiwezi kuletashida? Ahsanteni
ipo angalia vizuri acha mawenge
 
Ipo upande gani maana huku tunaona form four ndio ku a sehemu ya kujaza index number zaidi ya moja ila form six hakuna
Kwenye kipengere cha post form form education,Kuna sehemu wanaumiza number of sits,then una-ad number ya mara ya pili
 
Number of sit wew changu 2 means that your have two sit . Alafu uta ada tena hy namba
Kwa upande wa form 4 wanauliza number of seats ila form six sijaon hicho wanauliza tu kama ni diploma au form six then index number au ni sehemu gani kipo
 
Nijuavyo Mimi matokeo ya form 4 pekee ndio unanafasi na yanaruhusiwa kujumuishwa ata kwa vyeti 3 lakini SI Kwa form 6.
Form 6 cut point ya 4 inatakiwa ipatikane Kwa seat 1 it means mara ya kwanza umekosa umepata lamda D moja ukija mara ya pili unapaswa upate yote cut point ya 4, Ina maana hapa ukipata D ya pili aitokusaidia akuna matokeo kubebana kwa kidato cha 6..
Na hata sidhani kama Kuna system ya chuo inayokupa option zaidi ya Moja kwenye ku add form 6 namba zaidi ya form 4 lamda utaratibu umebadilika jana
 
Kumbe ninunavyo jua wee, nikajua ndivyo ilivyo
 
Back
Top Bottom