NABII ELIAH
Member
- Oct 25, 2022
- 14
- 6
ipo angalia vizuri acha mawengewakuu poleni na majukumu huvi kama ulifanya mitihani ya advance mara mbili mara ya kwamza ulipata D moja na mara ya lili ukapata D ya pili chuo ume combine matokeo sasa upande wa kuapply mikopo hatuioni sehemu ya kujaza index number za form six kwa waliokaa zaidi ya mara moja inakuwaje hapo au niweke moja tuu? je haiwezi kuletashida? Ahsanteni
Ipo upande gani maana huku tunaona form four ndio ku a sehemu ya kujaza index number zaidi ya moja ila form six hakunaipo angalia vizuri acha mawenge
Kwenye kipengere cha post form form education,Kuna sehemu wanaumiza number of sits,then una-ad number ya mara ya piliIpo upande gani maana huku tunaona form four ndio ku a sehemu ya kujaza index number zaidi ya moja ila form six hakuna
Number of sit wew changu 2 means that your have two sit . Alafu uta ada tena hy nambaKwenye kipengere cha post form form education,Kuna sehemu wanaumiza number of sits,then una-ad number ya mara ya pili
Kwa upande wa form 4 wanauliza number of seats ila form six sijaon hicho wanauliza tu kama ni diploma au form six then index number au ni sehemu gani kipoNumber of sit wew changu 2 means that your have two sit . Alafu uta ada tena hy namba
Umeandika nini sasa,!? Ndo maana hupaoni pa kujaza hizo taarifaNumber of sit wew changu 2 means that your have two sit . Alafu uta ada tena hy namba
Nimeweka form six then wananiletea kipengele kimoja tu cha kuweka index number ya form six. Nielekeze basi mkuu soryUmeandika nini sasa,!? Ndo maana hupaoni pa kujaza hizo taarifa
Kumbe ninunavyo jua wee, nikajua ndivyo ilivyoNijuavyo Mimi matokeo ya form 4 pekee ndio unanafasi na yanaruhusiwa kujumuishwa ata kwa vyeti 3 lakini SI Kwa form 6.
Form 6 cut point ya 4 inatakiwa ipatikane Kwa seat 1 it means mara ya kwanza umekosa umepata lamda D moja ukija mara ya pili unapaswa upate yote cut point ya 4, Ina maana hapa ukipata D ya pili aitokusaidia akuna matokeo kubebana kwa kidato cha 6..
Na hata sidhani kama Kuna system ya chuo inayokupa option zaidi ya Moja kwenye ku add form 6 namba zaidi ya form 4 lamda utaratibu umebadilika jana
Ndio hilivyo akuna kuunga matokeo ya form 6Kumbe ninunavyo jua wee, nikajua ndivyo ilivyo