Katung'a
Member
- Jul 2, 2015
- 40
- 20
Niliondoka kwenda masomoni bila ya kukamilisha ruhusa baada ya mwaka mmoja nikafungiwa mshahara na kutumiwa hati ya mashtaka na baadae nikafunguzwa kazi bila utumishi. Je naweza vipi kurudi kazini?? (Idara ya Elimu ) Naomba msaada tafadhali
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app