cacashian01
Member
- Mar 3, 2016
- 76
- 62
Jina lake tu Linaonyesha MKOROFIKwa maelezo yako yaonesha kuwa kosa lako ni utoro kazini, na kwenye sheria imeeleza wazi mtumishi asipoonekana kwenye kituo cha kaz kwa muda gan anakuwa amejifukuzisha kaz. Kwa suala lako inabid umuombe Mungu wako awape roho ya huruma waajiri wako ila kisheria huna haki tena ya kurudi kazin