Subiri serikali ikitangaza ajira za ualimu uombe tenaNiliondoka kwenda masomoni bila ya kukamilisha ruhusa baada ya mwaka mmoja nikafungiwa mshahara na kutumiwa hati ya mashtaka na baadae nikafunguzwa kazi bila utumishi. Je naweza vipi kurudi kazini?? (Idara ya Elimu ) Naomba msaada tafadhali
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama ulifukuzwa kazi bila utumishi. unatumikia adhabu Hiyo ndani ya mwaka mmoja. unarudishwa kazini. mwone katibu wa TCS mkoa ulipo kwa maelekezo zaidi.Niliondoka kwenda masomoni bila ya kukamilisha ruhusa baada ya mwaka mmoja nikafungiwa mshahara na kutumiwa hati ya mashtaka na baadae nikafunguzwa kazi bila utumishi. Je naweza vipi kurudi kazini?? (Idara ya Elimu ) Naomba msaada tafadhali
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama maelezo yako ni una makosa. Maana wewe ulikuwa mtoro na ulikuwa "hujulikana" huko wapi. Kukatiwa mshahara ni sawa maana hukuwepo na "hujulikani" ulipo. Swali ulifukuzwa kazi na nani kama sio utumishi? Na bila kusikilizwa? Pamoja na yote kama kweli umefukuzwa....nadhani due process was not followed. Hence you have a strong case= wrongful dismissal. (Japo siamini kama watu wenye akili timamu wanaweza wakafanya ulichokieleza. Seek professional legal advice.Niliondoka kwenda masomoni bila ya kukamilisha ruhusa baada ya mwaka mmoja nikafungiwa mshahara na kutumiwa hati ya mashtaka na baadae nikafunguzwa kazi bila utumishi. Je naweza vipi kurudi kazini?? (Idara ya Elimu ) Naomba msaada tafadhali
Sent using Jamii Forums mobile app
naomba nielewesha hapa mkuu...vipi kwa wale walioajiriwa kiwango chao vha elimu kikiwa darasa la saba,wanatambulika vipi kwenye payroll wakati hawana iyo namba ya form fourKwa majibu wa standing orders (download online), ukifukuzwa kazi serikalini huwezi tena kupata ajira ya serikali mpaka uwe na kibali cha Katibu Mkuu Kiongozi(ikulu). Kwa kifupi ni ngumu sana kupata ajira serikalini ukifukuzwa.
Soma standing order uielewe, itakusaidia mbele ya safari. Wanaokushauri uombe kazi upya wanakupotosha maana jina lako tayari lipo kwenye payroll system ambayo inakutambua kwa namba yako ya mtihani ya kidato cha nne. Hivyo huwezi kupiga chenga kutambuliwa.
Kwa uelewa wangu, darasa la saba hawapo tena kwenye payroll ya serikali. Yaan hawatakiwi kuajiriwa tena. Kuna wadau tulikuwa tunafanya nao kazi (madereva) walipewa barua zao na kazi ikawa imeisha, hii ilikuwa takribani miaka 3-5 iliyopita.naomba nielewesha hapa mkuu...vipi kwa wale walioajiriwa kiwango chao vha elimu kikiwa darasa la saba,wanatambulika vipi kwenye payroll wakati hawana iyo namba ya form four
Kuna wengine mbona wamerudishwa kazini huko Tanesco na ni std 7Kwa uelewa wangu, darasa la saba hawapo tena kwenye payroll ya serikali. Yaan hawatakiwi kuajiriwa tena. Kuna wadau tulikuwa tunafanya nao kazi (madereva) walipewa barua zao na kazi ikawa imeisha, hii ilikuwa takribani miaka 3-5 iliyopita.
Niliondoka kwenda masomoni bila ya kukamilisha ruhusa baada ya mwaka mmoja nikafungiwa mshahara na kutumiwa hati ya mashtaka na baadae nikafunguzwa kazi bila utumishi. Je naweza vipi kurudi kazini?? (Idara ya Elimu ) Naomba msaada tafadhali
Sent using Jamii Forums mobile app
Labda kama vibarua au kama wanalipwa na Tanesco wenyewe na sio Hazina.Kuna wengine mbona wamerudishwa kazini huko Tanesco na ni std 7
Ishu yako imefikia wapi mkuu?Niliondoka kwenda masomoni bila ya kukamilisha ruhusa baada ya mwaka mmoja nikafungiwa mshahara na kutumiwa hati ya mashtaka na baadae nikafunguzwa kazi bila utumishi. Je naweza vipi kurudi kazini?? (Idara ya Elimu ) Naomba msaada tafadhali
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndiyo wanalipwa na TanescoLabda kama vibarua au kama wanalipwa na Tanesco wenyewe na sio Hazina.