myao wa tunduru JF-Expert Member Joined Mar 9, 2010 Posts 614 Reaction score 235 Jun 10, 2010 #1 waungwana nilisahau kubisha hodi tafadhalini mniwie radhi na ninawaomba mnipokee rasmi
B Babuyao JF-Expert Member Joined Jun 6, 2009 Posts 1,741 Reaction score 272 Jun 10, 2010 #2 Karibu sana Myao wa tunduru. Umetuletea samaki-mchanga?
M Mokoyo JF-Expert Member Joined Mar 2, 2010 Posts 15,145 Reaction score 5,566 Jun 10, 2010 #3 myao wa tunduru said: waungwana nilisahau kubisha hodi tafadhalini mniwie radhi na ninawaomba mnipokee rasmi Click to expand... Mkuu ulipitiliza hadi uwani pasipo ruhusa ya wakuu wa kaya? Nway hapa tu wema hatuna kwere, nidhamu ndio muhimu tu
myao wa tunduru said: waungwana nilisahau kubisha hodi tafadhalini mniwie radhi na ninawaomba mnipokee rasmi Click to expand... Mkuu ulipitiliza hadi uwani pasipo ruhusa ya wakuu wa kaya? Nway hapa tu wema hatuna kwere, nidhamu ndio muhimu tu
myao wa tunduru JF-Expert Member Joined Mar 9, 2010 Posts 614 Reaction score 235 Jun 14, 2010 Thread starter #4 Babuyao said: Karibu sana Myao wa tunduru. Umetuletea samaki-mchanga? Click to expand... akhsante!samaki nchanga adimu
Babuyao said: Karibu sana Myao wa tunduru. Umetuletea samaki-mchanga? Click to expand... akhsante!samaki nchanga adimu