Nilighafirika!hodi!

Nilighafirika!hodi!

myao wa tunduru

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2010
Posts
614
Reaction score
235
waungwana nilisahau kubisha hodi tafadhalini mniwie radhi na ninawaomba mnipokee rasmi
 
Karibu sana Myao wa tunduru. Umetuletea samaki-mchanga?
 
waungwana nilisahau kubisha hodi tafadhalini mniwie radhi na ninawaomba mnipokee rasmi
Mkuu ulipitiliza hadi uwani pasipo ruhusa ya wakuu wa kaya? Nway hapa tu wema hatuna kwere, nidhamu ndio muhimu tu
 
Back
Top Bottom