Niliibiwa naona...

Magulumagu wewe mmmhhh

ningekewa na vocha ningekupigia ...

ukirudi online ni BP....
 
Rose na Asprin.......mnaanza mwaka kwa umbeya??.....mtambeyeka mwaka mzima mjue shauri zenu.
 
Huyo ni miongoni mwa hao wachache wanaobanduliwa na baba zao
 
Mamy msalimie BABU mwambie Abali ake bana

Niko hapa Mama Big, salamu zako nimezipokea kwa mikono miwili.

Hebu tafuta sababu tukaguane bana. Achana na vidigidigi havijui kukagua mazingira.
 
Subira yako ndio ilokuponza ngoja ngoja umeonekana ZOBA. Kwahiyo we ni bikira tu ndo ulokua unaiwania mh, kweli wewe inaonekana ni mzee wa under ground, kaziako unakuza vipaji unasepa. Alikuweza kweli.
 
Rose na Asprin.......mnaanza mwaka kwa umbeya??.....mtambeyeka mwaka mzima mjue shauri zenu.

kumbeyeka kuna burudan yake...mwulize teamo akwambie jins anavyombeyeka daily ili tu asutwe na fm akademia si makopo tena:embarrassed::teeth:😱
 
Niko hapa Mama Big, salamu zako nimezipokea kwa mikono miwili.

Hebu tafuta sababu tukaguane bana. Achana na vidigidigi havijui kukagua mazingira.

Kweli babu lazima pale kwenye ukumbi wa mikutano kwa eliza tuonane nikupe kheri ya mwaka mpya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…