Niliibiwa simu, wezi wamekopa kwenye line yangu. Hii inawezekana vipi wakuu?

Siku nyingine ukipoteza simu au kuibiwa, azima simu ya mtu, chap piga simu mtandao unaotumia wasitishe matumizi ya laini yako kwa muda.

Ukifanya hivyo hutakuja kulia lia humu kwa inshu ya kizembe namna hiyo.
 
Somo:

Usiku mnene Dar ni hatari sana
 
hii nakumbuka ilitaka kunitokea nilikuwa nimetoka
Sun set jet lumo pale ilikuwa 2017 hivi au 2018 kama sikosei
nilikuwa napenda kwenda pale TWANGA ikiwa inapiga

kulikuwa na muhudumu mmoja mweusi tii mixer na lafudhi ya kihaya hakika alijaliwa umbo nzuri sana mpaka nikawa nashangaa kwann amekuwa MUHUDUMU nilikuwa namnyemelea kila nikienda siku TWANGA wakipiga simpati basi bana siku nikampanga fresh
TWANGA imemaliza kupiga mm sikuondoka na gari ya TWANGA mana ilikuwa inanipa LIFT mpk kitaani KINO

nikawa naisubiria imalize halakati nisepe nayo aaah naona bar imefungwa yote PISI siioni dah nikajua hapa nishapangwa
basi huyo nikaenda road kusubir daladala hakuna pkpk hakuna hata hazipiti tupo km watu watatu hivi wale wakawa wananiambia daladala zinakuja ila za kusubiri

mara paap ikaja bajaji inaita BUGURUNI SHERI 1000 nikaona yes ngoja nipande hii
nataka kuingia nikakuta masela wawili nyuma mmoja akataka anipishe nikae kati kama wewe hvyo akileta habari anashuka karibu
haraka sana UBONGO ukascan SURA zao jibu likaja "ACCESS DENIED" error code 990 sura zimekataa
yaan kwa ufupi machale yakanicheza hicho kitendo kilikuwa ni cha kasi ya umeme
JIBU likatoka faster kuwa mm nakaa hukuhuku pembeni popote utakaposhuka nitakupisha
wakaangaliana nikapanda then DERECakang'oa mchuma tunaenda ila nipo kimachale kifala mixer ile mguu mmoja nje na mkono yaan nikawa nimekaa KIKOMANDO mda wowote bajaji ikisimama bila 7bu za kueleweka iwe kiufundi ama vyovyote vile nakinukisha kwa kuwa wa kwanza kushuka na kukimbia nna simu yangu S6 edge plus kila nikiwaza naona simu yangu nimenunua bei kali sana hawa wajuba wanikabe

basi bana tunaenda mdogoo mdogo tukafikia kuta la UWANJA NDEGE tunalifata tukapita kituo kinaitwa kwa GUDE bajaji inaambaambaa na ukuta wa AIRPORT

ukitokea LUMO kuja wa ndege kona ya kwanza ya uwanja ndege
then Kona ya pili ukiwa unanyoosha kushoto ukuta wa uwanja ndege kulia VIWANDA tupo barabarani bajaji kabla kuifata kona ya tatu then tumalizie ya nne kisha tutokee mataa

mtaa wa kwanza kushoto kama ukiwa unatokea katika mataa unakuja JET kuna barabara ya vumbi
ambayo ukinyoosha moja kwa moja unatokea nyuma ya kiwanda cha peps na ukuta wa kiwanda cha MO

basi ile BAJAJ ikapiga kona kali ya ghafra ikiwa na kasi kubwa ikaingia ile road ya vumbi
km nilivyokuambia nilikuwa nimekaa KIKOMANDO
chap nikaluka sema kwa kuwa bajaji ilikuwa katika mwendo na mm nilivyoruka nikafikia kusimama kama unavyojua mambo ya FIZIKIA kani ya mvutano ikanishinda nikadondonda ghafra bajaji ikasimama then ikawa inarudi nyuma kwa kasi mithili inataka kunitimba ikabidi nibilingize KIJOHN RAMBO kuelekea pembeni ya barabara huku na nashoot kwa SAUTI wezi hao na mitusi yote nawatukana lengo kama kuna yoyote atasikia anipe msaada
wale jamaa wakanifikia kabla hawajashuka nikasikia lango la geti la GODWON linafunguliwa
jamaa kuona hvyo wakaondoa BAJAJI kwa kasi sana mm bado nipo chini napiga kelele
akatoka mlinzi mmoja akiwa na panga na kunifata kwa kasi mpka nilipo na mwingine akiwa na GOBOLE akawa kasimama standby kalikoki akiwa getini yule mwingine alienifata pale chini akaniuliza vipi nikamuambia wale bajaji walitaka kuniibia
akaniuliza kukuibia kivipi au wameshakuibia wamekutupa hapa
ikabidi nimuhadithie kwa ufupi
akanipa pole huku ananisaidia kunyanyuka
akawa anasema bajaji nyingine sio waaminifu akanisindikiza mpk kwenye rami akaniambia subiri daladala hapa au kama naweza nitembee mpk kwenye mataa sio mbali ni SAFE nikasema ngoja nisubiri hapa hapa haikuchukua muda daladala ikaja ikiwa na wale jamaa wawili tuliokuwa tunasubiri pamoja wakashangaa ikabidi niwaadithie mkasa ulionikuta
wakanipa pole wakawa wanasema wao washazoea daladala sema mm nilikuwa na halaka halaka halfu sio bajaji wote wana hizo tabia huwa inatokea tu tena wanakuwa hata sio wa huku

basi tangu siku hiyo mm ikiwa usiku mkali huniweki kati
 
naona unatafta mbinu ya kukopa kwenye laini za watu ukiziiba
 
Wewe haujitambui inaomekana una shida.ukiibiwa simu piga mtandao husika jitambulishe taja majina na namba zako za simu vzr wakojithibitisha kuwa wewe ni mmiliki zinafungwa chap.mm ishanitokeq kuibiwa simu nilipiga sinu voda na line yangu chap ilifungiwa
 
Mkuu pole sana lakini nawew mda kama huo usiku unapandaje bajaji ambayo tyari inawatu tyari tena bad enough unawekwa mtu kati naww unakubali tu kirahisi
Na hii kitu unasemwa kila siku. Kwa mida ile hata bodaboda sipandi, angesubidi saa kumi na moja au na mbili angeondoka kwa amani kabisa.
 
Asa
ok mkuu hongera wewe Kwa kujitambua
 
Hawakukukata makofi hadi ukawapa na pin numbers za line yako?Kumbuka kama walikuzabua mabanzi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…