kaligopelelo
JF-Expert Member
- Jun 20, 2013
- 2,832
- 4,070
Na ndio mana nikafanya hivi. nimetii sheria bila shurutiUnajua taratibu za kiafrika/Tanzania, Rudi nyuma bisha hodi tena!
wakati ukuta.
Wapi zamani wewe?Wakuu humu ndani nimeingia tokea mwaka 2013. Kumbukumbu yangu inaonesha sijawahi kuja hapa kuutambulisha ugeni wangu kwa wenyeji wangu. Ingawa miaka yote hiyo nilikuwa member mwenye utiifu wa hali ya juu. Nilikuwa msomaji zaidi kuliko kupost threads. Sijawahi kuvunja beaker wala test tube ya mtu yeyote humu ndani.
Inaweza kuwa kweliWapi zamani wewe?
Sirudii tena mkuuUmeshaona hasara za kuingia sehemu bila hodi,usirudie tena..