Niliingia bila hodi

Niliingia bila hodi

kaligopelelo

JF-Expert Member
Joined
Jun 20, 2013
Posts
2,832
Reaction score
4,070
Wakuu humu ndani nimeingia tokea mwaka 2013. Kumbukumbu yangu inaonesha sijawahi kuja hapa kuutambulisha ugeni wangu kwa wenyeji wangu. Ingawa miaka yote hiyo nilikuwa member mwenye utiifu wa hali ya juu. Nilikuwa msomaji zaidi kuliko kupost threads. Sijawahi kuvunja beaker wala test tube ya mtu yeyote humu ndani.
 
Wapi zamani wewe?
 
Back
Top Bottom