Uchaguzi 2020 Niliingiza jumla ya Tsh laki 8 kwa watia nia hawa Nkenge lakini nikawasaliti sandukuni

Riz king nikupe pole mkuu.
Kwa akiri yako unaweza kufikiria kuwa unampambania kwa nguvu zote mgombea wako, ila kwa mtu yeyote mwenye akiri ya kawaida sana akisoma tu thread zako atajua ni ninj makusudi yako na ni upande gani unesimamia.Unawezajikuta unamharibia mgombea wako badala ya kumjenga.
Any way,let sleeping dogs lie.
All the best bro.
 
Mmhhh laki 8 kwa watu watatu?? Huwa wajumbe si wanapewa elfu 20 mpaka 40?
Huyo jamaa ni muongo. Dau letu ndani ya chama ni elfu 10 hadi 30 mwisho.

Katibu na Mwenyekiti wa Wilaya hao ndio tunawapa hela ndefu kidogo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…