Niliiona hii laana ikiingia nchini

Ivi kweli mt unashika tupu ya baba yako au unachezea pochi manyoya ya mama yako bila woga au na adi unaimwagia ndan au kuifinyia kaaa! Tena kuna wengine ndio funga kaz mbaba anamlawiti kijana wake mwenyewe yaan adi anafika kilelen asee huu ni zaid ya ushetan
 
Ki ukweli hai inatisha mnoo, mda si mrefu nimetoka kusoma kijana kamchoma dada ake visu hadi kafariki!
Jamani au ni haya maovie na makatuni ya kuua ua ndo yameharibu bongo za hiki kizazi?
Naogopa mno yarabi atupe hekima na neema za malezi yasitukute kwenye familia zetu.
 
Nadhani hata huu utandawazi usiodhibitiwa ni tatizo kubwa sana!
 
Wengine ni ushenzi laana na ufirauni wengine ni masharti ya kipuuzi ya waganga wa kienyeji
 
Aisee
 
Mambo mengi yapo toka zamani tofauti ni taarifa tu. Kuna uwezekano hapo nyuma kuna unyama mwingi kuliko sasa hivi. Matukio kama haya zamani ndo yalikuwa mengi sana. Mazingira niliyokulia matukio ya kinyama yalikuwa mengi kuliko sasa
 
Hapa pichani ni mama na mwanae wa kiume, Dada huyu anasema ana washangaa watu wanao mkosoa namna anavyo ishi na mwanae.

Anasema, yeye kamlea mwanae akiwa peke yake baada ya baba yake kumkataa akiwa mdogo sana Kwahiyo wamuache tu Kwa sababu mtoto huyu ndo furaha na Kila kitu kwake, "Kama watu wanashangaa ninavyo ishi na mwanangu mbona hawakushangaa nilivyo telekezwa? Mniache"
 
Kila tabia ina faida na hasara kwa mwanadamu. Kadri tulivyoendelea kujifunza na kushuhudia maisha, tumekutana na mambo mengi mazuri ya kuigwa na pia mabaya ya kujiepusha nayo.
Kwa hakika, vitendo vya ulozi na ushirikina vimeleta madhara makubwa—kwa mtu mmoja mmoja, kwa familia, na hata kwa jamii au taifa kwa ujumla. Mara nyingi husababisha hofu, migogoro, na kurudisha nyuma maendeleo ya watu.
Ni wakati sasa jamii zetu zijikite katika elimu, ukweli, na maendeleo, ili imani hizi potofu zibaki kuwa hadithi za kusimuliwa tu, si sehemu ya maisha ya kila siku.
 
Ni wakati sasa jamii zetu zijikite katika elimu, ukweli, na maendeleo, ili imani hizi potofu zibaki kuwa hadithi za kusimuliwa tu, si sehemu ya maisha ya kila siku.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…