Haya,umeshinda mkuuSi anajua sidanganyi
😳watu wa mbeya ni wapole?!!Wapole wee kumbe wapiga tunguli balaa
Utavumilia hata kwa nguvuHuwa sivumilii disrespect hata chembe so usijaribu kabisa
Wachawi mnajuana acha nichukue jembe nikalimeKivipi na huku Mm ndo nilifanyiwa uchawi
ChaiNa huo ndo ukweli
Wanaroga vibaya sana
Nili ishi kule na kuna mazaibu yalinikumba sitosahau mpaka nikahama
Je, kuna siri gani.. Nimegundua kuwa nilicho pitia ilikuwa ni dumba kabisa.
Duh aiseeNa huo ndo ukweli
Wanaroga vibaya sana
Nili ishi kule na kuna mazaibu yalinikumba sitosahau mpaka nikahama
Je, kuna siri gani.. Nimegundua kuwa nilicho pitia ilikuwa ni dumba kabisa.