Niliishi Mbeya kuna maswaibu yalinikumba sitosahau, mpaka nikahama!

Kuna siku Nitaleta stori humu mtashangaa
 
Wachawi mnajuana acha nichukue jembe nikalime
Nilikuwa siamini ila baada ya kutoka huko ndo nilitambua kuwa situation nilikuwa nayo ilikuwa ndumba Nitakuja na kisa if I feel free to do so
 
Na huo ndo ukweli

Wanaroga vibaya sana

Nili ishi kule na kuna mazaibu yalinikumba sitosahau mpaka nikahama

Je, kuna siri gani.. Nimegundua kuwa nilicho pitia ilikuwa ni dumba kabisa.
Duh aisee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…