A
Anonymous
Guest
Nilijiandikisha NIDA Mwaka 2019 nikiwa nafanya kazi Ifakara, sijapata kitambulisho mpaka leo (Julai 2026), nimefuatilia kila mara naambiwa kipo achived sasa sielewi, mpaka namba yangu ya NIDA imefungwa siwezi kufanya huduma yoyote.
Walisema kinaonekana kimetoka lakini hakipo achieved, hiyo ilikuwa mwaka 2022. Nikahama kwenda mkoa mwingine, nikarudi tena kufuatilia bado sikufanikiwa.
Ikabidi niombe watu wanisadie kwa sababu niliko mpaka Ifakara gharama ni kubwa lakini bado walipoenda wakapewa majibu yasiyoeleweka, kwakweli nimezichukia huduma za NIDA.
Soma Pia: Ofisi za NIDA Ilemela - Mwanza kuna uzembe kwenye utoaji Vitambulisho vya Taifa, Mamlaka zifuatilie
Mpaka sasa namba yangu imezuiliwa siwezi kupata baadhi ya huduma bila kitambulisho hicho, na kwa sasa uwezo wa kwenda Ifakara sina.