Nilijiapiza mjini nitarudi kutembea tu, lakini hapa nimelalia maboksi baada ya kuungua na maisha ya kijijini


We nae una ufundi huo unaenda kijijini kufanya si ungebaki hapa Dar ukakimbiza mdogo mdogo.

Anyways, kumbe Arusha ni kijijini, una taka ugomvi na machalii.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tajiri wa kijiji?!!

Sasa ushindani si ndio kiwanda cha ubunifu, unaogopa ushindani uta excel vipi kazi zako.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…