Nilijifunza kupiga punyeto hapa jukwaani, glycerine ilitaka kuniua

Nilijifunza kupiga punyeto hapa jukwaani, glycerine ilitaka kuniua

Darasa la saba, OK... tangu 2010 niko jukwaani
Kwa hiyo ni form four waliomaliza mwaka jana? Humu kujisajili hawazingatii umri wala akili ya mtu. Na ndo maana hata nyie mnapata nafasi ya kutuandikia haya mnachangamana na SISI 😁
 
Hivi haya mambo yapo kweli?
Inakuwaje mtu anakosa demu wakati mimi mademu nawakataa[emoji23][emoji23]
 
Nakumbuka mwaka 2010 ndiyo nilijiunga hapa, enzi hizo niko kidato cha tatu. Zama zile kulikuwa na jukwaa la wakubwa na ili ilitembelee ilikuwa ni lazima mods wakuunge.

Basi nikaomba kuungwa, nikawa nashinda huko. Katika peruzi zangu nikakutana na uzi unafundisha namna ya kupiga puli kwa njia mbalimbali.

Nilianza kwa kutumia sabuni, nikawa mteja. Basi kuna siku nilikosa sabuni, nikatumia mate. Kwasababu ya ukomavu wa mkono wangu nikaona kama najiumiza. Ghetto kulikuwa na glycerin, yale mafuta yana joto sana.

Nilipiga puli kuanzia saa mbili asubuhi hadi lunch time, baada ya msosi nikarudi tena ghetto, nikapiga tena hadi muda wa kuangalia Isidingo.

Baada ya hapo nikawa hoi sana, kichupa cha mafuta kimeisha, nikaumwa wiki mbili na nilichoumwa sikijui lakini niko hoi.

Tangu hapo sikurudia tena!
Nimecheka sana

Hilo jukwaa liko wapi?
 
Back
Top Bottom