Nilijifunza Ufugaji kupitia YouTube na Kusafiri Nchi Mbalimbali

Nilijifunza Ufugaji kupitia YouTube na Kusafiri Nchi Mbalimbali

Imani rubaba

JF-Expert Member
Joined
Dec 31, 2013
Posts
254
Reaction score
350
Bila elimu katika ufugaji ni lazima ukushinde. Hapa mzee kwezi alitueleza jinsi ambavyo aliwekeza katika elimu kwa kusafirisha nchi mbalimbali kwaajili ya kujifunza ufugaji wa ng’ombe wa maziwa. Lakini pia alivyotimia simu yake kwa kuingia na kutazama youtube ya rubaba Tv na nyingine kisha akapata maarifa ya kutosha
TAZAMA VIDEO KWENYE ATTACHMENT
---

📢 JIUNGE NA GROUP LETU LA MAFUNZO

(Kilimo & Ufugaji wa Kibiashara)

RUBABA MEDIA

Tunatoa:

✔ Mafunzo ya vitendo yanayotokana na uzoefu halisi wa shambani
✔ Ushauri wa kitaalamu kutoka kwa wataalamu na wafugaji waliothibitisha mafanikio
✔ Maarifa ya kuongeza tija, uzalishaji na faida
✔ Mbinu za kupunguza hasara zisizo za lazima
✔ Mwelekeo wa kujenga kilimo na ufugaji wa kibiashara chenye ushindani sokoni

📩 Hatua ya Kujiunga

📌 Tuma ujumbe: NIUNGE
📞 WhatsApp: 0764 148 221

---

🌱 KUMBUKA

Mafanikio hayaji kwa bahati.
Yanajengwa kwa maarifa sahihi, mipango madhubuti, maamuzi yenye tija, na utekelezaji wa vitendo, sambamba na matumizi ya mbinu na teknolojia zilizoidhinishwa kitaalamu


#KilimoTanzania #UfugajiWaKibiashara #RubabaMedia #RubabaTV
#KilimoChaKisasa #UfugajiWaNguruwe #TijaNaFaida #Inawezekana
 

Attachments

  • NGOMBE7.mp4
    16.9 MB
Back
Top Bottom