MLALUKO JR
JF-Expert Member
- May 3, 2015
- 962
- 309
Amekusamehe lakini next time mkumbuke na mama yako.
Lazima ikusumbue.... Mengine unakumbuka mama yako unasahauText hiyo ilinisumbua kichwa
Yangu mwenyewe huwa nasahau,bt hta kama ni hivo sikupaswa niwe vile kwa mzaziHahahahahahahaaaaa ya mchepuko ndio haisahauliki, Hauko Busy, hauna commitment muogope Mungu
Kweli kabisa mzazi muhimuLazima ikusumbue.... Mengine unakumbuka mama yako unasahau
Aksante Mkuu.......Pole...