MLALUKO JR
JF-Expert Member
- May 3, 2015
- 962
- 309
Salaam wanaJF,
Jana ilikuwa siku maalumu kwa mama yangu mzazi,yaañi ilkuwa ni siku yake ya kuzaliwa na kufikisha miaka kama 60s
Kutokana na kubanwa na mambo fulani ya kimajukumu hivyo ñikasahau kumtumia ujumbe wa kumtakia Siku njema hiyo adhimu kwake.
Leo ndo nmekutana na ujumbe wake huo
Nimejikuta roho inaniuma gafula.Anisamehe mama yangu