Nilijipanga kwenda JKT jina langu lisipoonekana TCU

baada ya kuwa mhanga wa second selection, nilijipanga kwenda jkt endapo nitakosa chuo, lakini mpaka sasa sielewi na tarehe ya mwisho kuripoti ni kesho tar 23.

Hiyo deadline ya kuripoti ni mbwembwe tu

We tokea tu ,upigwe intro ya peke yako depo liendelee
 
baada ya kuwa mhanga wa second selection, nilijipanga kwenda jkt endapo nitakosa chuo, lakini mpaka sasa sielewi na tarehe ya mwisho kuripoti ni kesho tar 23.

Kwani si ulifanikiwa kufanya selection mkuu kuwa second around co ndo kukosa chuo kaka so I hope chuo unapata kaka
 
Back
Top Bottom