Nilijua ni story tu ila dah! Pisi kali punguzeni kulia shida

Mabaharia wenzangu najua mpo salama kabisa na mnaendelea kulijenga hili taifa letu pendwa ili tupate maji na umeme wa uhakika bila kuitoa CCM madarakani.

E bhana niwe muwazi nishakutana na pisi zinazopiga vizinga sana tu ila hii niliokutana nayo jana ni balaa.

Ilikua hivi, baada ya kutoka kwenye mishe mishe usiku nikasema ngoja nikapooze koo kidogo huku nikiwa nacheki game ya mancity na psg. Icho kiwanja nilichoenda palikua na pisi za kutosha sana nikaona sio mbaya niichukue moja inisaidie kutumia vihela vyangu kidogo.

Picha linaanza mtoto anakunywa heineken tu, hataki local beer. Nikasema dah kwavile nishayavulia ngoja nikomae. Binti anakunywa zile beer kama maji huku muhuni nikiwa nafaidi kulichezea chezea lile tako lake zuri.

Mida ya saa nane hivi nikaanza kuona simu za wife nyingi, ikabidi nichukue namba nirudi zangu home.

Tatizo limeanza leo anapiga simu nyingi sana mara hajala, mara umeme umeisha, kodi yake inakaribia kuisha kuna rafiki ake kamdhulumu simu yake kwaio hana simu anayotumia kaazima tu. Afu "mume wangu" nyingi sanaaa. Yaani haya yote yametokea leo baada ya kukutana nae jana.

Kiukweli mimi sionagi shida kutoa hela "kumsaidia" mtu anaenipa mbunye, ila hii ni too much, bora angeanza na kitu kimoja taratibu taratibu.

Pisi kali tunawapenda ila vizinga muwe mnapiga taratibu taratibu.

Uzi tayari.
Chukua zigo hilo
 
[emoji23][emoji23][emoji23]no one can feel ur pain bro[emoji23][emoji23][emoji23] unless umekutana nayo
Me ndani ya 3days nkapga hesabu ya mizinga nkakuta nadaiwa kama 200000 hivi[emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji3][emoji3][emoji3]
 
Mademu wanaomba sana,sio hao tu hata wanaofanya kazi nzuri maofisini wanaomba kinoma.

Thus why watu kwenye sex wanawa treat vibaya.
 
Alikua na maji makubwa. Nikampa offer ya kumnunulia beer
Mkuu hapo ndio ulipoharibu sasa!! Anaekunywa maji unaendelea kumnunulia maji mpaka aseme mwenyewe.
Yaani hapo ilikua ni mwendo wa waiter muongezee kinywaji; Huyo angejiongeza mwenyewe na kusema atachokunywa bila wewe kutoa offer ya kumnunulia beer - ukampa mwanya wa kuagizia "Henken" 😛
 
Tatzo unatak jumla , inabid ufanye reja reja ain ya mazngr hayo ulie mchukulia.
 
MREJESHO; Jana nilifanikiwa kumtafuna, ila nimekuja kugundua alikua ni malaya bhana. Maanake baada ya kumla nilitaka kumpiga calenda nisimpe hela. Dah huo moto alouwasha ikabidi nimpe wekundu 3.
[emoji23][emoji23][emoji23]utaleta ngoma kwa familia uache yatima na machokoraa mtaani bure. Hafu vizuri kakukomesha k ya bure kwa mkeo tu aisee
 
Mabaharia wenzangu najua mpo salama kabisa na mnaendelea kulijenga hili taifa letu pendwa ili tupate maji na umeme wa uhakika bila kuitoa CCM madarakani.

E bhana niwe muwazi nishakutana na pisi zinazopiga vizinga sana tu ila hii niliokutana nayo jana ni balaa.

Ilikua hivi, baada ya kutoka kwenye mishe mishe usiku nikasema ngoja nikapooze koo kidogo huku nikiwa nacheki game ya mancity na psg. Icho kiwanja nilichoenda palikua na pisi za kutosha sana nikaona sio mbaya niichukue moja inisaidie kutumia vihela vyangu kidogo.

Picha linaanza mtoto anakunywa heineken tu, hataki local beer. Nikasema dah kwavile nishayavulia ngoja nikomae. Binti anakunywa zile beer kama maji huku muhuni nikiwa nafaidi kulichezea chezea lile tako lake zuri.

Mida ya saa nane hivi nikaanza kuona simu za wife nyingi, ikabidi nichukue namba nirudi zangu home.

Tatizo limeanza leo anapiga simu nyingi sana mara hajala, mara umeme umeisha, kodi yake inakaribia kuisha kuna rafiki ake kamdhulumu simu yake kwaio hana simu anayotumia kaazima tu. Afu "mume wangu" nyingi sanaaa. Yaani haya yote yametokea leo baada ya kukutana nae jana.

Kiukweli mimi sionagi shida kutoa hela "kumsaidia" mtu anaenipa mbunye, ila hii ni too much, bora angeanza na kitu kimoja taratibu taratibu.

Pisi kali tunawapenda ila vizinga muwe mnapiga taratibu taratibu.

Uzi tayari.
Mario wake "Sugar mummy" kwa pisi kali umepotea mkuu!!
 
Sio kila mwanamke anaweza kukufaa, kama unamwona wa gharama achana nae, sio size yako.

Mwachie nafasi kutane na wanaotoa matumizi bila hata kuombwa..... wapo

Na hao ndio wanaomfaa na yeye ndio anayewafaa
Chama kimoja
 
Aisee mi kuna moja la kichagga mpaka nikiwa napokea simu yeye mwenyewe anacheka kwanza yani utafikiri matatizo yanamfata yeye tu mara gesi imekata,mtoto ada mara baba anaumwa aisee nilijikuta naanza kuzeeka sababu ya majukumu ya ghafla
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]du mbombo ngafu
 
Back
Top Bottom