ni upotoshaji,
si kweli kwamba kadi zisizo za kielektronic ziliachwa na hazitumiki. Nenda tawi la CCM popote nchini na kadi yako isiyo ya kielektronic utahudumiwa bila mbambamba yoyote 🐒
usikubali kupotoshwa na wapotoshaji ati hizo kadi hazitumiki,
hao wanaojidanganya ni dot.com itajulikana serikali za mitaa baadae mwaka huu...
hata hivyo,
kama kuna vyama vya siasa vinavyojinadi na kujigamba kutotumia kadi zisizo za kielektronic, bas vitakua na wanachama wasiozidi milioni1 kila kimoja,
maana we check,
miaka nenda miaka rudi watu wanasajiliwa NIDA na hawaishi na wengi wamefanikiwa tu kupata namba na hivyo vitambulisho vya kielektronic hawana,
ni muujiza gani vyama hivyo vya siasa vimetumia na kwa gharama gani vimeshampatia bibi yangu kadi ya kielektronic kule Kijijini kimtigiti angali namuona kila siku na kadi yake hai isiyo ya kielektronic kama sio ulaghai wa kifikra?🐒