Tindo
JF-Expert Member
- Sep 28, 2011
- 63,730
- 111,542
Ushamba uko kwenye damu. Huani hata lile pozi lake bado ni la kikulima? Ni kama ule ushamba wa dhalimu Magu akawa anaishia kuvaa masuti oversize.Msigwa siyo mshamba ila amekulia Shamba 😂😂
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ushamba uko kwenye damu. Huani hata lile pozi lake bado ni la kikulima? Ni kama ule ushamba wa dhalimu Magu akawa anaishia kuvaa masuti oversize.Msigwa siyo mshamba ila amekulia Shamba 😂😂
Huu ni UONGO.Kule kwa Madiba alikuwa houseboy wa Kasisi mmoja wa kizungu na ndiko alikojifunzia misamiati michache ya kithiolojia anayowadanganya nayo watu kuwa ni Mchungaji.Aliporudi bongo alipewa nguo nyini sana za mitumba aje awagawie yatima na watu wasiojiweza yeye akageuza mtaji akafungua genge la kuuzia mituba huyo ndiye kada wa CCM aliyenunuliwa kwa $ 500,000. kupitia kwa Abduli.
😂😂😂wacha wakusanye hayo makaratasi halafu software data base inakua ya mwisho kukusanya , right? 🐒
SubhanAllah 😂Ushamba uko kwenye damu. Huani hata lile pozi lake bado ni la kikulima? Ni kama ule ushamba wa dhalimu Magu akawa anaishia kuvaa masuti oversize.
ili chama kibaki na kipara kisichoota nywele 🐒
Unajua CCM pale juu kila mmoja anatamba yeye ni mtoto wa mjini lakini huyu Msigwa anaweza kuwaonyesha Show ya ajabu 😂😂😂ili chama kibaki na kipara kisichoota nywele 🐒
Acha ufala dogo, siku hizi data zinakaa kwenye iCloud, anayeweza kuziaccess ni mwenye password tu. Na huko ziliko hao washamba wa aina ya kina Makala hawana power yoyote ya kuzipata. Au unadhani ziko kwenye desktop hapo kwenye ofisi za cdm?wacha wakusanye hayo makaratasi halafu software data base inakua ya mwisho kukusanya ili Kibaki chama cha siasa kilicho kipara, right? 🐒
Haya mambo siku akiwekwa hadharani mtashangaa sana.Hii nguvu kiasi hiki inayotumika kuimaliza Chadema inaashiri awamu ya saba kuna mambo ya ovyo sana yatafanyika na hakuna atakayekuwa na uwezo wa kuyahoji. Tuombe Mungu sana aingilie kati kwani nguvu ya hela imewalegeza wengi tuliokuwa tunategemea wangekuwa na vinywa vya kusema hapana.$500,000 duh 🙄 !
Basi huyo Abduli ni kibopa kweri kweri !
Ameupatia wapi huo utajiri ?
Kwenye orodha ya walipa kodi naye yumo ???!
Tuwekee ukweli mkuu
hiyo icloud itakua hairudi wakati huo 🤣Acha ufala dogo, siku hizi data zinakaa kwenye iCloud, anayeweza kuziaccess ni mwenye password tu. Na huko ziliko hao washamba wa aina ya kina Makala hawana power yoyote ya kuzipata. Au unadhani ziko kwenye desktop hapo kwenye ofisi za cdm?
Kumbe?hiyo icloud itakua hairudi wakati huo 🤣
password 🔑?🤣🤣
kwamba ndio ujanja sana kua na password, right 🐒
utashanga!🤣Kumbe?
baadae ya uchaguzi wa serikali za mitaa na vijiji anakula uafisa tawala wa wilaya akapumzike na kutulia huko ili asifurukute 2025 pale iringa 🐒Unajua CCM pale juu kila mmoja anatamba yeye ni mtoto wa mjini lakini huyu Msigwa anaweza kuwaonyesha Show ya ajabu 😂😂😂
Wajinga ndiyo waliwao,kadi zote ni mpya ndiyo zimetoka printer analetewa Nchimbi naye kaingia kichwa kichwa
Nimeshangaa sana kuona KADI za Makaratasi za CHADEMA kwani ninavyojua CCM, CHADEMA na ACT Wazalendo walishaacha na hizo KADI za Kienyeji.
Pia soma: Kadi za kieletroniki za uanachama kuipa CHADEMA Tsh. Bilioni 13 kwa mwaka
Peter ni mwanaharakati kutoka Matamba Makete aliyepata Ujanja Bondeni kwa Madiba Kuna siku atarudi where he belong.
Ni angalizo tu 🐼
Nchimbi nilidhani kwa vile ni msomi na amepata exposure kufanya kazi nje ya nchi angekuwa na siasa za kistaarabu kumbe bado yuko kwenye siasa za ki analogue. Ameshindwa kuona kuwa hizo kadi zote ni mpya zimetoka kuprintiwa.
Nimeshangaa sana kuona KADI za Makaratasi za CHADEMA kwani ninavyojua CCM, CHADEMA na ACT Wazalendo walishaacha na hizo KADI za Kienyeji.
Pia soma: Kadi za kieletroniki za uanachama kuipa CHADEMA Tsh. Bilioni 13 kwa mwaka
Peter ni mwanaharakati kutoka Matamba Makete aliyepata Ujanja Bondeni kwa Madiba Kuna siku atarudi where he belong.
Ni angalizo tu 🐼
Unaweza kukuta ni mwenyewe 🐼Huyu Msigwa amekuwa kama Lucas Mwashambwa.
Hhahahaha eti Kuna siku atarusdi where he belong..