johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Kule kwa Madiba alikuwa houseboy wa Kasisi mmoja wa kizungu na ndiko alikojifunzia misamiati michache ya kithiolojia anayowadanganya nayo watu kuwa ni Mchungaji.Aliporudi bongo alipewa nguo nyini sana za mitumba aje awagawie yatima na watu wasiojiweza yeye akageuza mtaji akafungua genge la kuuzia mituba huyo ndiye kada wa CCM aliyenunuliwa kwa $ 500,000. kupitia kwa Abduli.Nimeshangaa sana kuona KADI za Makaratasi za Chadema kwani ninavyojua CCM, Chadema na ACT Wazalendo walishaacha na hizo KADI za Kienyeji
Peter ni mwanaharakati kutoka Matamba Makete aliyepata Ujanja Bondeni kwa Madiba Kuna siku atarudi where he belong
Ni angalizo tu πΌ
Kaanzisha Siasa za enzi za JK za Wapinzani kurudisha KADI za Makaratasi za Vyama vyaoBado anaendelea na kampeni/minada?
Kama ndipo alipofikia ahurumiwe.Hii ni aibu kwake,familia yake na jamaa zake wapya.Kaanzisha Siasa za enzi za JK za Wapinzani kurudisha KADI za Makaratasi za Vyama vyao
Siasa za kizamani sana za akina Juliana Shonza πππ
Ni sawa ukutane na mtu anakurudishia flopy disk (diskett) zama hizi za flash, memory card, na ma iCloud.Kaanzisha Siasa za enzi za JK za Wapinzani kurudisha KADI za Makaratasi za Vyama vyao
Siasa za kizamani sana za akina Juliana Shonza πππ
Anajaribu kujustfy ile $ 500,000. aliyolipwa na Dulla.Kama ndipo alipofikia ahurumiwe.Hii ni aibu kwake,familia yake na jamaa zake wapya.
Mtu mwenyewe unamuonaje kutoka kuwa beki tatu wa mzungu.Msigwa anafanya siasa za kishamba sana.
ni upotoshaji,Nimeshangaa sana kuona KADI za Makaratasi za Chadema kwani ninavyojua CCM, Chadema na ACT Wazalendo walishaacha na hizo KADI za Kienyeji
Peter ni mwanaharakati kutoka Matamba Makete aliyepata Ujanja Bondeni kwa Madiba Kuna siku atarudi where he belong
Ni angalizo tu πΌ
Timings zake ni mbovu na zinatabirika kwa kufumba macho kidogo tu.Kifuatacho ITV....tamthiliya ya THE PROMISE!Anajaribu kujustfy ile $ 500,000. aliyolipwa na Dulla.
Yeye mwenyewe ni mshamba fulani anayejifanya mjanja. Ogopa sana mtu anavaa suti na raba ( training shoes)Msigwa anafanya siasa za kishamba sana.
Suti na njumu tena?π€£π€£π€£πYeye mwenyewe ni mshamba fulani anayejifanya mjanja. Ogopa sana mtu anavaa suti na raba ( training shoes)
$500,000 duh π !Kule kwa Madiba alikuwa houseboy wa Kasisi mmoja wa kizungu na ndiko alikojifunzia misamiati michache ya kithiolojia anayowadanganya nayo watu kuwa ni Mchungaji.Aliporudi bongo alipewa nguo nyini sana za mitumba aje awagawie yatima na watu wasiojiweza yeye akageuza mtaji akafungua genge la kuuzia mituba huyo ndiye kada wa CCM aliyenunuliwa kwa $ 500,000. kupitia kwa Abduli.
Haya mambo siku akiwekwa hadharani mtashangaa sana.Hii nguvu kiasi hiki inayotumika kuimaliza Chadema inaashiri awamu ya saba kuna mambo ya ovyo sana yatafanyika na hakuna atakayekuwa na uwezo wa kuyahoji. Tuombe Mungu sana aingilie kati kwani nguvu ya hela imewalegeza wengi tuliokuwa tunategemea wangekuwa na vinywa vya kusema hapana.$500,000 duh π !
Basi huyo Abduli ni kibopa kweri kweri !
Ameupatia wapi huo utajiri ?
Kwenye orodha ya walipa kodi naye yumo ???!
Lakini je upo ukweli ndani yake au watu wanararurana tu ??π!Haya mambo siku akiwekwa hadharani mtashangaa sana.Hii nguvu kiasi hiki inayotumika kuimaliza Chadema inaashiri awamu ya saba kuna mambo ya ovyo sana yatafanyika na hakuna atakayekuwa na uwezo wa kuyahoji. Tuombe Mungu sana aingilie kati kwani nguvu ya hela imewalegeza wengi tuliokuwa tunategemea wangekuwa na vinywa vya kusema hapana.
Sawa, ndio huyo Msigwa apate kadi za karatasi tu, mbona hakuna hata moja ya kielectronic? Mbona ni maigizo ya kizee sana? Siasa so outdated.ni upotoshaji,
si kweli kwamba kadi zisizo za kielektronic ziliachwa na hazitumiki. Nenda tawi la CCM popote nchini na kadi yako isiyo ya kielektronic utahudumiwa bila mbambamba yoyote π
usikubali kupotoshwa na wapotoshaji ati hizo kadi hazitumiki,
hao wanaojidanganya ni dot.com itajulikana serikali za mitaa baadae mwaka huu...
hata hivyo,
kama kuna vyama vya siasa vinavyojinadi na kujigamba kutotumia kadi zisizo za kielektronic, bas vitakua na wanachama wasiozidi milioni1 kila kimoja,
maana we check,
miaka nenda miaka rudi watu wanasajiliwa NIDA na hawaishi na wengi wamefanikiwa tu kupata namba na hivyo vitambulisho vya kielektronic hawana,
ni muujiza gani vyama hivyo vya siasa vimetumia na kwa gharama gani vimeshampatia bibi yangu kadi ya kielektronic kule Kijijini kimtigiti angali namuona kila siku na kadi yake hai isiyo ya kielektronic kama sio ulaghai wa kifikra?π
Msigwa siyo mshamba ila amekulia Shamba ππYeye mwenyewe ni mshamba fulani anayejifanya mjanja. Ogopa sana mtu anavaa suti na raba ( training shoes)
wacha wakusanye hayo makaratasi halafu software data base inakua ya mwisho kukusanya ili Kibaki chama cha siasa kilicho kipara, right? πSawa, ndio huyo Msigwa apate kadi za karatasi tu, mbona hakuna hata moja ya kielectronic? Mbona ni maigizo ya kizee sana? Siasa so outdated.
Kwa hiyo amerudi stages ambazo hakuzipitia alipokua "bush-country"?Msigwa siyo mshamba ila amekulia Shamba ππ