Pre GE2025 Nilijua tu Mch. Msigwa ataiingiza chaka CCM, sasa CHADEMA na kadi za kienyeji za karatasi wapi na wapi? Nchimbi uwe makini

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Huu ni UONGO.

johnthebaptist yupo sahihi.
 
wacha wakusanye hayo makaratasi halafu software data base inakua ya mwisho kukusanya ili Kibaki chama cha siasa kilicho kipara, right? πŸ’
Acha ufala dogo, siku hizi data zinakaa kwenye iCloud, anayeweza kuziaccess ni mwenye password tu. Na huko ziliko hao washamba wa aina ya kina Makala hawana power yoyote ya kuzipata. Au unadhani ziko kwenye desktop hapo kwenye ofisi za cdm?
 
$500,000 duh πŸ™„ !
Basi huyo Abduli ni kibopa kweri kweri !
Ameupatia wapi huo utajiri ?
Kwenye orodha ya walipa kodi naye yumo ???!
Haya mambo siku akiwekwa hadharani mtashangaa sana.Hii nguvu kiasi hiki inayotumika kuimaliza Chadema inaashiri awamu ya saba kuna mambo ya ovyo sana yatafanyika na hakuna atakayekuwa na uwezo wa kuyahoji. Tuombe Mungu sana aingilie kati kwani nguvu ya hela imewalegeza wengi tuliokuwa tunategemea wangekuwa na vinywa vya kusema hapana.
Huu ni UONGO.

johnthebaptist yupo sahihi.
Tuwekee ukweli mkuu
 
Acha ufala dogo, siku hizi data zinakaa kwenye iCloud, anayeweza kuziaccess ni mwenye password tu. Na huko ziliko hao washamba wa aina ya kina Makala hawana power yoyote ya kuzipata. Au unadhani ziko kwenye desktop hapo kwenye ofisi za cdm?
hiyo icloud itakua hairudi wakati huo 🀣

password πŸ”‘?🀣🀣

kwamba ndio ujanja sana kua na password, right πŸ’

kule Kenya kuna mtu alikua anaitwa karmago alichomfanyia Odinga hata sahau 🀣
 
Unajua CCM pale juu kila mmoja anatamba yeye ni mtoto wa mjini lakini huyu Msigwa anaweza kuwaonyesha Show ya ajabu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
baadae ya uchaguzi wa serikali za mitaa na vijiji anakula uafisa tawala wa wilaya akapumzike na kutulia huko ili asifurukute 2025 pale iringa πŸ’
 
Wajinga ndiyo waliwao,kadi zote ni mpya ndiyo zimetoka printer analetewa Nchimbi naye kaingia kichwa kichwa
 
Nchimbi nilidhani kwa vile ni msomi na amepata exposure kufanya kazi nje ya nchi angekuwa na siasa za kistaarabu kumbe bado yuko kwenye siasa za ki analogue. Ameshindwa kuona kuwa hizo kadi zote ni mpya zimetoka kuprintiwa.
 
Mbona hizo kadi zinaonekana mpya sana? Itakuwa hao wanachama walikuwa watunzaji sana wa kadi zao.
 
Hhahahaha eti Kuna siku atarusdi where he belong..
Ni wapi huko mkuuu??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…