[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaahNaiwaza ile miguu yake siku ya yanga, utafikiri alikua amesimamia mikono badala ya miguu.
Waungwana siku kadhaa nyuma diamond kwenye Insta story yake alichimba mikwara kwamba anarudi na kasi ya hatari na atakua trending no.1 mpaka january 2024. Mimi nilijua ilikua mikwara tu.
Kudhihirisha hilo leo ametoa wimbo wake wa my baby nafikir wote mmejionea Promo kubwa wimbo wa kawaida....Mfano huo wimbo angeimba underground yoyote tofauti na Diamond ungepigwa leo tu..
Diamond anashuka
Diamond anapoteza ubora wake
Watanzania hawaoni hilo kwakua wamemzoea
Sasa huyo Zuchu anaimba nn?? Tangu aibukee huyo Zuhura, nyimbo nilizoona ni bora na at least zina make senses kwa genre aliyo ujuza umma, bas ni mbili tyuuhZile nyimbo ni utopolo mtupu bora Zuchu ubora wake unaonekana.
unaiwaza miguu yake?Naiwaza ile miguu yake siku ya yanga, utafikiri alikua amesimamia mikono badala ya miguu.
Angechukua Kibabe ngoma ya Lava lava TAJIRI kidogo tungemuelewa.Sishangai maana Harmonize alishasema alikuwa anamsaidia kutunga nyimbo huyu jamaa watu wakapinga .
Nasikia ata ile Ngoma ya naanzaje ya mondi ilikuwa ni ya lava lava jamaa akatumia ubabe kuibeba..Angechukua Kibabe ngoma ya Lava lava TAJIRI kidogo tungemuelewa.
Hizi ndio pigo zake. Hit songs zake nyingi zilikuwa zinatungwa na mawazo ya wote kina Harmo,Ray,mboso na lava. Hata kipindi mavoco yupo hapo WCB alikuwa anaboost sana kwenye uandishi. Sasa hivi ndio Mond anasimama mwenyewe na matokeo ndio hayo. Kama unakumbuka baada tu ya kutoka enzi zile ilikuwa kila akitoa ngoma lazima msanii aibuke kulalamika kaibiwa. Haikuwa bure kulikuwa na namna. na ambazo hawakuibuka alikuwa anawapoza kimya kimya.Nasikia ata ile Ngoma ya naanzaje ya mondi ilikuwa ni ya lava lava jamaa akatumia ubabe kuibeba..
Malizia mkuu inaonekana una mengiHizi ndio pigo zake. Hit songs zake nyingi zilikuwa zinatungwa na mawazo ya wote kina Harmo,Ray,mboso na lava. Hata kipindi mavoco yupo hapo WCB alikuwa anaboost sana kwenye uandishi. Sasa hivi ndio Mond anasimama mwenyewe na matokeo ndio hayo. Kama unakumbuka baada tu ya kutoka enzi zile ilikuwa kila akitoa ngoma lazima msanii aibuke kulalamika kaibiwa. Haikuwa bure kulikuwa na namna. na ambazo hawakuibuka alikuwa anawapoza kimya kimya.
Ndio chanzo cha kuamua aanzishe wasafi ili apate watunzi karibu. IPO siku Mboso ataamua kuyaweka barazani hamtaamini. Muulize Hanstone.
Hizi ngoma zote waliibuka watu kudai kuibiwa
Mdogomdogo
Mbagala
I miss you
Nasema nao. Hii aliandika Ommy Dimpoz
Itaendelea...
Inategemea na mkataba aliouingiaMara nyingi nyimbo za Diamond zinazo Anza polepople na kuonekana za kawaida ..utashangaa baada ya mda zinatamba Ile mbaya ...hata sijui inakuwaje . . utashangaa by December huu wimbo unatamba sana
Chino Wana man ni konkiLabda upepo wa CHINO WANA MAN 😂😂 unamkwamisha. Ila akikaa sawa utashangaa anatikisa tena