Nilijua tu ni mikwara ya Diamond

Nilijua tu ni mikwara ya Diamond

Kosa kuhama unyaman na kwenda kule kwenye dimbwi..fan base lazma ishuke tu...na bdo
 
Waungwana siku kadhaa nyuma diamond kwenye Insta story yake alichimba mikwara kwamba anarudi na kasi ya hatari na atakua trending no.1 mpaka january 2024. Mimi nilijua ilikua mikwara tu.

Kudhihirisha hilo leo ametoa wimbo wake wa my baby nafikir wote mmejionea Promo kubwa wimbo wa kawaida....Mfano huo wimbo angeimba underground yoyote tofauti na Diamond ungepigwa leo tu..

Diamond anashuka

Diamond anapoteza ubora wake

Watanzania hawaoni hilo kwakua wamemzoea

Jamaa ajikite zaidi kwenye ujasiliamali ,kama anataka kuendelea kuimba akubali kutungiwa na watunzi.
 
Zile nyimbo ni utopolo mtupu bora Zuchu ubora wake unaonekana.
Sasa huyo Zuchu anaimba nn?? Tangu aibukee huyo Zuhura, nyimbo nilizoona ni bora na at least zina make senses kwa genre aliyo ujuza umma, bas ni mbili tyuuh

Wana
Raha

Hizo nyingnee zotee ni taarabuuu mtupuuu. Lol
 
Wabongo sahvi wako bize na bandari
[emoji1] hayo mambo mengine hayana umuhimu kwao kwa sasa

Ova
 
Nasikia ata ile Ngoma ya naanzaje ya mondi ilikuwa ni ya lava lava jamaa akatumia ubabe kuibeba..
Hizi ndio pigo zake. Hit songs zake nyingi zilikuwa zinatungwa na mawazo ya wote kina Harmo,Ray,mboso na lava. Hata kipindi mavoco yupo hapo WCB alikuwa anaboost sana kwenye uandishi. Sasa hivi ndio Mond anasimama mwenyewe na matokeo ndio hayo. Kama unakumbuka baada tu ya kutoka enzi zile ilikuwa kila akitoa ngoma lazima msanii aibuke kulalamika kaibiwa. Haikuwa bure kulikuwa na namna. na ambazo hawakuibuka alikuwa anawapoza kimya kimya.
Ndio chanzo cha kuamua aanzishe wasafi ili apate watunzi karibu. IPO siku Mboso ataamua kuyaweka barazani hamtaamini. Muulize Hanstone.

Hizi ngoma zote waliibuka watu kudai kuibiwa

Mdogomdogo
Mbagala
I miss you
Nasema nao. Hii aliandika Ommy Dimpoz

Itaendelea...
 
Malizia mkuu inaonekana una mengi
 
Mara nyingi nyimbo za Diamond zinazo Anza polepople na kuonekana za kawaida ..utashangaa baada ya mda zinatamba Ile mbaya ...hata sijui inakuwaje . . utashangaa by December huu wimbo unatamba sana
Inategemea na mkataba aliouingia
 
Back
Top Bottom