Nilikabidhi mafundi ujenzi kazi pamoja na funguo nilipofika kule kwa kushtukiza nikakuta mipira ya condom iliyotumika ndani

Nilikabidhi mafundi ujenzi kazi pamoja na funguo nilipofika kule kwa kushtukiza nikakuta mipira ya condom iliyotumika ndani

Wadau nishaurini, nilikabizi mafundi ujenzi kazi pamoja na funguo nilipofika kule kwa kushtukiza nikakuta mipira ya condom iliyotumika mle ndani, hii ina maana gani??
Sasa kwanini ulifika kwa kustukiza?Na kwanini ulikabidhi kazi na funguo bila usimamizi,Je hukufahamu kuwa nao wanamahitaji kama alivyo mnyama ama binaadamu.Ukijibu maswali haya ushauri utakujia chap kwa haraka.
 
Back
Top Bottom